Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,863
- 20,715
Walitupiga awamu ya pili,tatu na nne, sio kwenye awamu ya tano.At least we can see some light in the tunnel.mbona hata Ccm wanatupiga
Walitupiga awamu ya pili,tatu na nne, sio kwenye awamu ya tano.At least we can see some light in the tunnel.mbona hata Ccm wanatupiga
Hiki wanachosema kuwa kuna ongezeko la makusanyo ya kodi kina leta mashaka makubwa kwani tawala zilizopita kila halmashauri ilikuwa inakusanya mapato yake na yalitumika kuendeleza maendeleo ya wilaya husika, utawala wa sasa umechukuwa mapato karibu yote ya halmashauri kupitia TRA na bado mapato hayo yamekuwa ni kidogo mno kwani makusanyo ya 1.2bilion yamechanganya na mapato yaliyokuwa yakikusanywa na halmashauri. Kwa maana nyingine makusanyo ya 900milioni kipindi cha Kikwete ukijumlisha na makusanyo ya halmashauri yalikuwa ni mapato makubwa kuliko makusanyo ya kipindi hiki
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) laonya tena kuhusu kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania.
> Taarifa hiyo yasema kuwa Sekta binafsi zinakufa na mapato kushuka kwa kasi.
> Aidha, Serikali yatakiwa kuchukua hatua za haraka ili kuinusuru hali hiyo
=====
IMF raises concern over Tanzania's economic slowdown
DAR ES SALAAM, Jan. 12 (Xinhua) - The International Monetary Fund (IMF) on Friday stepped up its warnings against economic slowdown in Tanzania, saying the government needs to take urgent measures to reverse the downward trend.
In its latest statement on the state of Tanzania's economy, the IMF said although the country's gross domestic product (GDP) growth remains strong, other economic indicators paint a gloomy picture.
"Although GDP data point to continued strong growth, other high frequency data suggest a weakening of economic activity," it said after the conclusion of its Policy Support Instrument (PSI) review for Tanzania.
"Tax revenue collections are lower than expected and credit growth has stagnated reflecting in part banks' rising non-performing loans (NPLs)," said the statement.
It added: "There are downside risks to economic growth in the short term stemming from slow budget implementation, a challenging business environment, and private sector concerns about authorities' enforcement of rules."
On the upside, inflation remains moderate and international reserves have increased substantially, according to the statement.
"Strong growth and job creation are needed to address high poverty and a large underemployed youth population. Infrastructure gaps and the business climate have also become increasingly challenging and require response," the IMF said.
"Budget implementation needs to be improved and arrears prevented," said the statement adding that additional domestic revenue needs to be mobilized through tax policy and administration reforms, while improving the functioning of the value added tax (VAT) refunds system.
The statement said sustained reforms were crucial for a strong private sector-led growth envisioned by the government's development plan.
Last month, the IMF called on the Tanzanian government to speed up reforms and spend more to prevent a slowdown in one of the world's fastest growing economies.
President John Magufuli pledged to reform the country's economy, which is hobbled by red tape and corruption and begin a program to develop public infrastructure after he was elected in 2015.
Tanzania's GDP growth slowed to 6.8 percent in the first half of 2017 from a 7.7 percent expansion in the same period in 2016.
The economy has been growing at around 7 percent annually for the past decade, but the World Bank said in November that growth will likely slow to about 6.6 percent in 2017.
The Minister for Finance and Planning, Philip Mpango, last month dismissed fears on the Tanzanian economy, saying it remained the fastest growing country in East Africa.
He said the government will likely attain its 7 percent GDP growth target for 2017 due to massive public investments in flagship infrastructure projects, including construction of the standard gauge railway (SGR) network.
http://www.imf.org/external/np/exr/facts/psi.htm). Details on Tanzania’s PSI are available atwww.imf.org/tanzania
Nafikiri haamini kuwa Economics ni taaluma kama vile ilivyo udaktari haitakiwi kuingiliwa maamuzi na mtu ambaye hana taaluma hiyo. Anawaona ma-economist ni mangwini tu. Anafikiri mtu aliyesoma physical science anaweza pia kutoa maamuzi ya kiuchumi hata asipokuwa na hiyo taaluma.Sijawahi kuona raisi anahimiza mabenki yafungwe duniani, badala ya kuona namna ya kuzinyanyua. Banks ndo driver mkuu wa uchumi.
Jamaa elimu ya uchumi ni zero afu bado ni mbishi.
Vitakaza na bado mpaka watu waanze kufanya kazi Kwa kujitumaVyuma vimekaza hakuna ubishi kuhusu hilo anayebisha akajinyonge.
Tuliambiwa kwamba tulikuwa na uchumi fake , wauza madawa ya kulevya, wapiga deals,mishahara hewa labda yote sawa lkn shida kama plan B haipo kuhusu kukuza uchumi na hasa wajasiriamali ambao wanafata sheria na taratibu zote ktk shughuli zao lakini wamejikuta ktk hali mbaya kwa bidhaa na huduma zao kukosa soko
Kiukweli kuna shida sehemu na hata kama watasema tupo ktk kipindi cha mpito lkn kuna watu/biashara nyingi hazita recover tena