IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

Mkubwa amejichukulia vyanzo vyote vya mapato na bado anashindwa kuhudumia budjet ya nchi kikamilifu.mwaka jana aliweza kwa 30% sijui mwaka huu ata achieve percent ngapi maana bado miezi sita tu
Hiki wanachosema kuwa kuna ongezeko la makusanyo ya kodi kina leta mashaka makubwa kwani tawala zilizopita kila halmashauri ilikuwa inakusanya mapato yake na yalitumika kuendeleza maendeleo ya wilaya husika, utawala wa sasa umechukuwa mapato karibu yote ya halmashauri kupitia TRA na bado mapato hayo yamekuwa ni kidogo mno kwani makusanyo ya 1.2bilion yamechanganya na mapato yaliyokuwa yakikusanywa na halmashauri. Kwa maana nyingine makusanyo ya 900milioni kipindi cha Kikwete ukijumlisha na makusanyo ya halmashauri yalikuwa ni mapato makubwa kuliko makusanyo ya kipindi hiki
 
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) laonya tena kuhusu kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania.

> Taarifa hiyo yasema kuwa Sekta binafsi zinakufa na mapato kushuka kwa kasi.

> Aidha, Serikali yatakiwa kuchukua hatua za haraka ili kuinusuru hali hiyo

=====

IMF raises concern over Tanzania's economic slowdown

DAR ES SALAAM, Jan. 12 (Xinhua) - The International Monetary Fund (IMF) on Friday stepped up its warnings against economic slowdown in Tanzania, saying the government needs to take urgent measures to reverse the downward trend.

In its latest statement on the state of Tanzania's economy, the IMF said although the country's gross domestic product (GDP) growth remains strong, other economic indicators paint a gloomy picture.

"Although GDP data point to continued strong growth, other high frequency data suggest a weakening of economic activity," it said after the conclusion of its Policy Support Instrument (PSI) review for Tanzania.

"Tax revenue collections are lower than expected and credit growth has stagnated reflecting in part banks' rising non-performing loans (NPLs)," said the statement.

It added: "There are downside risks to economic growth in the short term stemming from slow budget implementation, a challenging business environment, and private sector concerns about authorities' enforcement of rules."

On the upside, inflation remains moderate and international reserves have increased substantially, according to the statement.

"Strong growth and job creation are needed to address high poverty and a large underemployed youth population. Infrastructure gaps and the business climate have also become increasingly challenging and require response," the IMF said.

"Budget implementation needs to be improved and arrears prevented," said the statement adding that additional domestic revenue needs to be mobilized through tax policy and administration reforms, while improving the functioning of the value added tax (VAT) refunds system.

The statement said sustained reforms were crucial for a strong private sector-led growth envisioned by the government's development plan.

Last month, the IMF called on the Tanzanian government to speed up reforms and spend more to prevent a slowdown in one of the world's fastest growing economies.

President John Magufuli pledged to reform the country's economy, which is hobbled by red tape and corruption and begin a program to develop public infrastructure after he was elected in 2015.

Tanzania's GDP growth slowed to 6.8 percent in the first half of 2017 from a 7.7 percent expansion in the same period in 2016.

The economy has been growing at around 7 percent annually for the past decade, but the World Bank said in November that growth will likely slow to about 6.6 percent in 2017.

The Minister for Finance and Planning, Philip Mpango, last month dismissed fears on the Tanzanian economy, saying it remained the fastest growing country in East Africa.

He said the government will likely attain its 7 percent GDP growth target for 2017 due to massive public investments in flagship infrastructure projects, including construction of the standard gauge railway (SGR) network.

http://www.imf.org/external/np/exr/facts/psi.htm). Details on Tanzania’s PSI are available atwww.imf.org/tanzania
 
yani Serikali imeshindwa kuendesha kabisa Uchumi wa nchi Hii
na nahisi uchungu hasa vijana wengi wamekuwa mazombi kutwa kufurahia kiki na umbea wa vibamia
sijui tunaenda wapi ,wachumi wanapika data .viongozi wanadanganya mchana kweupe yani !!!!
 
Wazungu ukitaka wakusifie wawe wanachuma kwako, ukiwabana kwenye mianya yao watakuzushia kila jambo. Huu ni mwanzo tuu, ukiwabana sana wanakuzushia ya ndani kabisa na kuanza kufumuana.
 
Hata hivyo viwango wanavyosema wao bado ni bora kilinganisha na nchi nyingine nyingi za ukanda huu.
 
Tuliambiwa kwamba tulikuwa na uchumi fake , wauza madawa ya kulevya, wapiga deals,mishahara hewa labda yote sawa lkn shida kama plan B haipo kuhusu kukuza uchumi na hasa wajasiriamali ambao wanafata sheria na taratibu zote ktk shughuli zao lakini wamejikuta ktk hali mbaya kwa bidhaa na huduma zao kukosa soko

Kiukweli kuna shida sehemu na hata kama watasema tupo ktk kipindi cha mpito lkn kuna watu/biashara nyingi hazita recover tena
 
Sijawahi kuona raisi anahimiza mabenki yafungwe duniani, badala ya kuona namna ya kuzinyanyua. Banks ndo driver mkuu wa uchumi.
Jamaa elimu ya uchumi ni zero afu bado ni mbishi.
Nafikiri haamini kuwa Economics ni taaluma kama vile ilivyo udaktari haitakiwi kuingiliwa maamuzi na mtu ambaye hana taaluma hiyo. Anawaona ma-economist ni mangwini tu. Anafikiri mtu aliyesoma physical science anaweza pia kutoa maamuzi ya kiuchumi hata asipokuwa na hiyo taaluma.
 
CCM isipeleke nguvu ya kusajili hawa wahamiaji wakutoka vyama vingine hili suala la uchumi litawagharimu kwa kiasi kikubwa uchaguzi mkuu ujao.
Kuna kura za hasira zitapigwa kama huu uchumi hautarekebishwa haraka
 
"Hao IMF ni wapiga deal, wauza dawa za kulevya na mafisadi. Watakuwa wametumwa na CHADEMA tu. Tuwapuuze kabisa.
Nchi yetu kwa sasa uchumi unakuwa kwa kasi ya ajabu, Ajira zipo nje nje, TRA wanakusanya karibu Trilioni 1.5 kwa mwezi."

Hizo ndio hadithi ambazo watanzania wote tunalazimishwa kuzikariri na kuziimba kila siku.
 
IMF mkiingia kwenye C area risasi 32 zinawahusu, hatupendi kuambiwa ukweli sisi. Au na nyinyi mnataka kuitwa na waziri wa michezo kwa kutuweka uchi?
 
CCM inajua kununua wapinzani.....

CCM na Tume ya uchaguzi inaendesha uchaguzi wa marudio kwenye sehemu mbalimbali nchini......

Zote hizo ni pesa za mlipa kodi wa nchi hii!

Sasa hapo uchumi utakosa kushuka kweli??
 
Tuliambiwa kwamba tulikuwa na uchumi fake , wauza madawa ya kulevya, wapiga deals,mishahara hewa labda yote sawa lkn shida kama plan B haipo kuhusu kukuza uchumi na hasa wajasiriamali ambao wanafata sheria na taratibu zote ktk shughuli zao lakini wamejikuta ktk hali mbaya kwa bidhaa na huduma zao kukosa soko

Kiukweli kuna shida sehemu na hata kama watasema tupo ktk kipindi cha mpito lkn kuna watu/biashara nyingi hazita recover tena

One would think that people would be happier if prices were to go down. Everything becomes cheaper, and the money that we have seems to go a little further than it used to. However, when this effect drags on for too long, companies' profits begin to decline. Economic conditions (i.e. excess supply) force companies to sell their products for even cheaper and subsequently cut back on production costs, reduce employee wages, lay off workers or even close production facilities. At this point, unemployment will increase, the economy cannot expand and people aren't spending their money because their economic future seems uncertain.

Equity prices begin to decline as people sell off their investments, which are no longer offering good returns, and bonds temporarily become more attractive. Until the government can find a way to increase consumer and business spending - usually by lowering interest rates to stimulate the economy - equity prices will take a severe beating.

Now that you know the effects of deflation, you can imagine why it is considered worse than inflation: in times of inflation, governments curb spending and encourage saving by increasing interest rates, but as governments will do the opposite to encourage spending during deflation, they cannot lower the nominal interest rates to a negative level, or below zero. Central banks in areas affected by deflation can only move the rate by a certain amount.
 
Vita vya Uchumi, hayo yamelengwa kwa Raisi wetu Mtukufu, mchapa kazi, "bulldozer" ni siasa tu za Wazungu!

Hivi ni kwanini tuwe tunaambiwa tu wakati wote ni jinsi gani Uchumi wetu unakuwa na unavyoporomoka na wazungu wakati wote kha, jamani! Hivi kweli hao wasomi wetu wa mambo ya Uchumi hawajui hayo? Je sheria za Takwimu zimefuatwa na hao IMF au sheria hiyo ilikuwa shinikizo lao?

Kwa kweli nimejaribu kuangalia maana hasa ya kukua na kudondoka kwa uchumi...yote yanaangukiwa kwenye Dollar, IMF, WB,WHO,Commonwealth, nk na wote hawa ni wazungu.
Tunajua kiongozi wa watu weupe duniani- Marekani ambapo mengi ya mashirika haya ya makampuni makubwa Ulaya na Marekani ndio wanaotoa maelekezo kama wanaona interest zao zipo chini au hazipewi kipaumbele.

Wanancheza na saikolojia ya watu ili tuone serikali yetu haifai!Enough!

Leave our "SHITHOLE" alone!
 
Back
Top Bottom