Ripoti ya Taasisi mbili kubwa Duniani, Shirika la Fedha Dunia (IMF) na Jukwaa la Uchumi Dunia (World Economic Forum-WEF) inaonesha kuwa Tanzania inatumia vizuri Mapato Yake ambapo inatajwa kuwa ya 28 kati ya nchi 136 zinazotumia vizuri mapato yake vizuri Duniani na ni ya pili Afrika baada ya Rwanda.