Sumbi Sanchez
Senior Member
- Apr 16, 2017
- 100
- 360
We ni nyumbu wa kibaNyumbu wa madale
kweli iliyo kuu
Diamond ni msanii ambaye kakuzwa na clouds ila yeye kidogo alikuwa na njaa ya kufika mbali tofaut na wasanii wengne, ndo mana alijifunza njia zote kipindi yuko na ukaribu na Ruge,So pia hao wasanii wote ulio wataja mafanikio yao mpaka kufika hapo nguvu ya clouds ipo,ila kama huna jicho la kutambua mambo huwez kujua hilo,Kila chenye mwanzo kina mwisho ila ni vema kuipa clouds heshima pale unapo sifia mafanikio ya Diamond.
rogger datKitu kizuri ni kizuri tu hata ukiziwie kitajiuza yu chenyewe bila promotions. Wimbo wa banjuka juu wa DNA ulikaa mwakaa mzima umetoka ila haupo hit.. after a while ilikuja kua bonge la ngoma East Afrika.
Yaani ndio ile unafunga mlango unakuta mpo ndani nao..unazima muziki shabiki wanabak kwa dancefloor
Bardest 47 mzee wa nikagongee
Yes wakati Niko mbeya huo ndio ulikuwa wimbo wao wa taifa,pili kwenye huu muziki bila kuonana na wadau wa muziki wenye muziki wao huwezi kutoboakuna huyu jamaa anaitwa Badest47 mzee wa nikagongee promo ameipata baadae nyimbo ikiwa ishasumbua mpaka basi Wakaona isiwe mbaya wamsogeze mjengoni