S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,041 Reaction score 6,311 Oct 12, 2016 #61 Hongera sana mnama.
Nkuruzinza JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 298 Reaction score 137 Oct 12, 2016 #62 Hongera sana
Omerta JF-Expert Member Joined Jan 3, 2016 Posts 6,158 Reaction score 7,823 Oct 12, 2016 #63 Mwaliko wa namna hii kweli Kuna atakayehudhuria?
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,366 Reaction score 161,496 Oct 12, 2016 #64 masanjuo said: Uchagan au Click to expand... Wakidatoo Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
masanjuo said: Uchagan au Click to expand... Wakidatoo Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,868 Reaction score 15,735 Oct 13, 2016 #65 masanjuo said: Nimeitim nurse jmn ndo naitim diploma ya nursing Click to expand... Masanjuo jamani,dah wewe mzuriiiii!
masanjuo said: Nimeitim nurse jmn ndo naitim diploma ya nursing Click to expand... Masanjuo jamani,dah wewe mzuriiiii!
P paup Senior Member Joined Aug 24, 2014 Posts 102 Reaction score 58 Oct 13, 2016 #66 jiandae kujiajiri.....kama una mawazo ya kukaa kwenye kiti cha kuzunguka na mshahara wa 5 m futaaaaaaaaaaaaaaaa kabisa ufugaji wa kuku,kilimo vinalipa,....
jiandae kujiajiri.....kama una mawazo ya kukaa kwenye kiti cha kuzunguka na mshahara wa 5 m futaaaaaaaaaaaaaaaa kabisa ufugaji wa kuku,kilimo vinalipa,....
mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 947 Oct 15, 2016 #67 masanjuo said: Wakuu hamjambo za siku nyingiiiii napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha katika hafla fupi ya mahafali yangu karibun sanaa itafanyik tar 27 Click to expand... Wapi hiyo mahafari
masanjuo said: Wakuu hamjambo za siku nyingiiiii napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha katika hafla fupi ya mahafali yangu karibun sanaa itafanyik tar 27 Click to expand... Wapi hiyo mahafari
Himawari JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 2,609 Reaction score 1,704 Oct 15, 2016 #68 "napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha"
Comi JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 3,328 Reaction score 958 Oct 15, 2016 #69 masanjuo said: Wakuu hamjambo za siku nyingiiiii napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha katika hafla fupi ya mahafali yangu karibun sanaa itafanyik tar 27 Click to expand... kwa utoaji huu wa taarifa bado hujahitimu hivyo sogeza mahafali yako mbele kwanza hadi utakapokua umeshahitimu vizuri
masanjuo said: Wakuu hamjambo za siku nyingiiiii napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha katika hafla fupi ya mahafali yangu karibun sanaa itafanyik tar 27 Click to expand... kwa utoaji huu wa taarifa bado hujahitimu hivyo sogeza mahafali yako mbele kwanza hadi utakapokua umeshahitimu vizuri
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,339 Reaction score 16,799 Oct 15, 2016 #70 masanjuo said: Asante kwa ushaur Click to expand... Hajakushauri
relis JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 3,429 Reaction score 5,471 Oct 15, 2016 #71 Hii ndo tabu ya wasomi wetu hata kupambana na changamoto za mikono yake zinamshinda ,aaaaya!hongera kwa kumaliza lundo la madarasa
Hii ndo tabu ya wasomi wetu hata kupambana na changamoto za mikono yake zinamshinda ,aaaaya!hongera kwa kumaliza lundo la madarasa