Imethibitika

Imethibitika

ukinisaidia vyote Apologise lady nitashukuru....

Aaanha!! Amesema eti, mfano wewe ukinitaka mimi utamaliza soli ya kiatu na wallet itakuwa empty na mwisho wa siku hutonipata, ila.......................ila.................. mimi nikikutaka wewe, yaani ndani ya dakika nikiita tu kabanga wewe utaitika "yes malkia sema utakacho hata mshahara wangu wote nitakupa" ndio hivyo basi kasema.

Mimi nikaguna, maana sikuamini, labda nikuulize Eti ndivyo ilivyo??????????????
 
Last edited by a moderator:

sijui Apologise lady labda unijaribu.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom