jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 379
- 1,304
Imeshawahi kukutokea mtu unamuulizia kumbe ameshafariki miezi miwili iliyopita basi mimi
Nilitumiwa meseji na rafiki mchina, akiomba tuongee plan ya biashara, sikujibu akapiga sikupokea , nikajisemea nitaongea nae kesho, akatuma picha ya solar panel,
kesho nikapiga simu haikupokelewa, kila siku nikawa napiga haipokelewi, siku saba mfululizo,
nikatuma meseji, " kuna tatizo gani, au nimekuudhi kitu " mbons sio kawaida
Nikajibiwa
" Mimi ni mke wake, rafiki yako alipata ajali , siku aliyokupigia simu muongee, slipata ajali ya gari hapo akafariki hapo hapo, ndio tumemaliza mazishi"
nilistuka saana
Bado nawasiliana na mke wake ni miaka mitano sasa, hii ilinifundisha kuwa
"KESHO NI SIKU NYINGINE"
Vipi wewe imeshawahi kukutokea ???