am sorry to say this but hii tabia ya wasichana kukimbilia kubeba mimba sikuhizi kabla ya ndoa inanikwaza sana
kwa vile ww Mungu kakuepusha usifikir ndio ulikuwa makin sana ila hukubahatika kukutana na wakwale. Na acha hyo kauli ungekuwa single ningekutafuta kwa gharama yoyote ili nikuthibitishie kuwa huna ujanja ila hukubahatika kukutana nao
Habari wanaMMU,......
Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.
Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu).
Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake
ndaga kalumbu
Una uhakika na unachokisema?
kumbuka tunatofautina, pia hatujui mazingira aliyonayo huyu dada!
Usiitoe hiyo mimba mwenzio yalinikuta kama yako mwanzo niliwaza sana but now am happy to be a mother nilianza kuuza barafu na ice cream zikanibeba mpaka sasa na duka kubwa mwanangu namlea anamiaka 3 sasa baba mtu anahahaha hana hata mtoto hdi leo
mrsleo anasema walidumu miaka 3...
unadhani dhana ya kukimbilia hapo ipo?
Sasa kuwa na mahusiano na mtu miaka mitatu ndo tiketi ya kumzalia mtoto? isitoshe msichana mwenyewe anaonekana bado mdogo kajiharibia maisha tu, bora angekuwa mdada mtu mzima mwenye maisha yake nisingeshangaa ningesema kashajikataa tamaa ameamua kuzaa tu
Seriously?!!! You are such a stereotype, dah!!! And what makes you think just because she's having a child while still in college is the end of her life?! Watu kama nyie ndo mnaowafanyaga watu wengine wajione like an outcast from the community. Mm mdogo wangu alibeba mimba when she was in her third year at the university, nakumbuka alikuwa stressed out sana akaanza kupata mawazo ya kucommit suicide coz she was ashamed of the pregnancy & didn't want to face people like you who would judge her, ilibidi nifanye kazi ya ziada kumcounsel and she finally found the will power to face the world, akarudi home, had her baby & after 3 months she went back to college,kamaliza chuo na sasa ana kazi yake nzuri tu na mtoto yupo kwa wazazi wetu analelewa.
Pamoja na kupendana kote, mambo ya kupata mtoto yanahitaji mjadiliane na mkubaliane. Inawezekana hisia zake ni kwamba unataka kutumia mimba kama kigezo cha kufanya ndoa haraka. Siku hizi ndoa nyingi bibi arusi ana tumbo la kesho au kesho kutwa kujifungua.
Sikushauri utoe mimba maana ulishaamua kuzaa. Awe anataka au hataki itabidi uendelee na ujauzito na kuangalia baadaye mambo yatakuwa vipi. Je kwa muda wote huo wa uhusiano, kuna ndugu zake wanakufahamu? Kama hamna hiyo siyo dalili njema na ulipaswa kusoma alama za nyakati.
Men!!!!
Ni vizuri umejua aina ya mtu uliyekuwa nae na kumuamini ni mtu wa namna gani hasa,pole kwa sababu ungetamani kuyajua haya mapema.
Usithubutu kutoa hiyo mimba,lea mamy na uje ulee mwanao kwa mapenzi yote.
Wapo watoto wengi wanalelewa na mzazi mmoja kwa sababu zozote zile na wanakua tu,hata wako atakua.
Go and talk to your mama,hata akichukia mwanzoni hawezi kuchukia milele.
Good luck.
Sasa kuwa na mahusiano na mtu miaka mitatu ndo tiketi ya kumzalia mtoto? isitoshe msichana mwenyewe anaonekana bado mdogo kajiharibia maisha tu, bora angekuwa mdada mtu mzima mwenye maisha yake nisingeshangaa ningesema kashajikataa tamaa ameamua kuzaa tu
Seriously?!!! You are such a stereotype, dah!!! And what makes you think just because she's having a child while still in college is the end of her life?! Watu kama nyie ndo mnaowafanyaga watu wengine wajione like an outcast from the community. Mm mdogo wangu alibeba mimba when she was in her third year at the university, nakumbuka alikuwa stressed out sana akaanza kupata mawazo ya kucommit suicide coz she was ashamed of the pregnancy & didn't want to face people like you who would judge her, ilibidi nifanye kazi ya ziada kumcounsel and she finally found the will power to face the world, akarudi home, had her baby & after 3 months she went back to college,kamaliza chuo na sasa ana kazi yake nzuri tu na mtoto yupo kwa wazazi wetu analelewa.
hili ndio tatizo la jamii yetu...we dnt want to say the truth. kuzaa nje ya ndoa ni shameful thing and shuld be viewed that way. tumekuja ona kitu cha kawaida na ndio maana inaendelea kuwepo.
secondly huyo dada yako ni irresponsible....kuzaa azae yeye kulea walee grandparents....loh