.....Habari wanaMMU,......nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia. Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu). Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake

Ulianzaje kujiachia kubeba mimba kabla hujaolewa? Pole
king kan ni ndugu yangu kiukweli.....na wala halijui hili
Swali hili kwa sasa halina maana, cha muhimu ajue mimba si ugonjwa, na mtoto hali ng'ombe mzima kwa siku, kusema hataweza.
Ajikusanye tu aweke wazi kwa ndugu zake na wazazi, mzazi hata awe pilipili, maji yakishamwagika anakuwa mpole tu.
Kulea utalea sana there is always a way................
wangapi wameweza wewe ushindwe kwa lipi nakushauri usiitoe
halaf huyo mwanaume wakati anafanya alikua anategemea nini anajua kumwagalia tu
ila zao la umwagiliaji wake ndio hataki.ITS A LESSON
mmmmh asante
yaani utafkiri uliwaza kichwan mwangu..............Mwanachuo mzima ushindwe lea katoto kamoja? Hivi wengine mmekulia wapi?
Naona ni mie tu nimekulia kwenye mikiki mikiki, huu umayai unatoka wapi?
Kwa hiyo unashawishika kutoa?