MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
huwezi amini ni m2 aliekuwa ananionya/nikanya kila cku kuhusu kujihusisha na fone ya mr, yeye hiyo juzi cjui ni shetani gani alimuingia akajiperuzia, nikikuambia mr katoweka mpaka sasa, kazini haupo cjui yupo kona gani, kwao wamezaliwa wawili tu na sis wake anaishi mwanza ndio imebidi tu nimwambie ninavyoambiwa hali ya mgonjwa huko ni mbaya so fanya juu chini uje, sasa hivi anauguzwa na mama babra na mie ndio nipo njiani kuelekea huko.....
DUME LOLOTE LENYE UHAKIKA,likuthibitisha hiyo avator yako ndivyo ulivyo...!LOLy?kwann G?
ha haa haaaaaaaaaaa, usinichekeshe Babra lol!jana ckupata ucngizi, nimeamka ucku nimemkodolea msukuma wangu jicho namuona ni wale wale tu....
Babra pole sana kwa huyo rafiki yako. Jamani yaani vituko hivi mie vimenichosha. Ukiingia kwenye forum ya Harusi Yangu utasema mimi siolewi kabisa yaani ndoa siku hizi ni kitu cha ajabu kabisa. Kule kuna mke mwenye mimba ya miezi saba na nusu kamkuta mumewe kwa hawara yake (baada ya kumfuatilia) akiwa uchi kama alivyozaliwa ni vile tu alipozaliwa hakuzaliwa na yale manywele meusi huko chini- mdada kwa hasira akaishia kumwambia mumewe asirudi nyumbani na jinyamaume lile halikurudi likalala kule kule kwa hawara.
Sasa huyu naye jamani ah!! Si kazi bure wazee wetu walionaga mbali walipokuwa wanawaozesha mama zetu kwa watu wanaowafahamu vizuri hadi koo zao na walihakikisha ni wa koo za karibu. Nadhani hii ilisaidia sana kupunguza mistreatments za hapa na pale.
najaribu kuwaza kama isingekuwa ni taboo nineshauri watu wawe wanaolewa na ndugu zao kama mabinamu, watoto wa baba/mama mkubwa e.t.c hizi extremes za maovu zingepungua huwenda
DUME LOLOTE LENYE UHAKIKA,likuthibitisha hiyo avator yako ndivyo ulivyo...!LOL
watakuja kukukabodhi magari yao na matukutuku yao na ma eitiemu ili mradi tu wale tunda
😀......😀😀😀
ninavyojua mimi,wanaume wanaoongoza kwa kuwapenda na kuwajali wanawake ni wasukuma!....huyo muhishimiwa si msukuma!kama ni msukuma si orijino...!ni msukuma CHIPOLOPOLO!
isingekuwa mshiki....!dah!NINGETANGAZA MERIJI HAPO...!hongera sana kwa hiyo boldah ah ah not as easy as u think!!!!!!!!mm ni indipendent gal,mgum,uliona wapi sister du anafunga na kuuza kuku,kmaa,laptop etc?maduu zao pamba,mapouuuuuuuuuuda au sio?sijawahi kumtegemea mwanaume my dia
ah ah ah not as easy as u think!!!!!!!!mm ni indipendent gal,mgum,uliona wapi sister du anafunga na kuuza kuku,kmaa,laptop etc?maduu zao pamba,mapouuuuuuuuuuda au sio?sijawahi kumtegemea mwanaume my dia
isingekuwa mshiki....!dah!NINGETANGAZA MERIJI HAPO...!hongera sana kwa hiyo bold
[/COLOR][/B]
Ahh wapi?
kasema nani?
Babra wala si shetani ni MUNGU alitaka kumueleleza huyo bwana anayejifanya muaminifu katika ndoa yake. Unakumbuka mie nilisema juu ya zile sms nilizokuta kwenye simu ya Mr. Mimi pia sikuwa na tabia ya kugusa simu yake hata iite mara mia ila siku hiyo imagine alikuja chicha hajiwezi nikamvua nguo simu nikaziacha kwenye mfuko wa suruali nikapanda kitandani kulala- usingizi hauji, sauti within me inaniambia 'soma messages za Mr. soma , we acha ujinga soma, nakwambia leo hulali soma' dada nilikaa macho one hour najigeuza tu mwenzangu anakoroma- mwisho nikajiuliza kwa nini nikaamka na kuichukua na kuifungua na sms ya kwanza kukutana nayo ni ya huyo hawara yake .... zikafuata na nyingine nyingi.
Na siku zote alikuwa anaimba kuwa akijanikuta au kusikia namegwa na mtu nje ya ndoa ataniua kwa kuwa yeye hamegi. Nikapata pa kuanzia,
isingekuwa mshiki....!dah!NINGETANGAZA MERIJI HAPO...!hongera sana kwa hiyo bold
tunamuombea kwa kweli apone kabisa. Lesson 1. dont save your "hun" contact kwenye simu yako, lesson 2😀O NOT browser your spouse fone lesson 3:MAKE SURE if you suspect your hun is cheating confront him/her at the police station!!
Aaaah hii mikasa ya siku hizi jamani inakosesha hata amani ..na haya mambo ya simu nyie acheni mungu amsaidie apone na aanze maisha yake vizuri kama wata Reconcile
na mzee tushukuru .namshukuru sana Kaizer alinipa ushauri one day yes kuhusu hivi visimu thanks Binamu
pls, pls! msitoke kwenye key msijeharibu hali ya hewa hapa jamani, i beg you gals!Msasha hilo pozi la avator umeliona!! mapozi kama hayo nayaonaga sehemu sehemu fulani!! do ger whar am saying?
lesson 3:MAKE SURE if you suspect your hun is cheating confront him/her at the police station!!
ha haa haaaaaaaaaaa, usinichekeshe Babra lol!