Liz Senior
JF-Expert Member
- Apr 19, 2007
- 483
- 54
that will hurt him even more!! huyo dada anamuonesha mumewe kuwa alimpenda kwa dhati na si zaidi ya hapo.
nasikia uchungu sana jamani!!! ila hiyo ni adhabu tosha kwa mumewe!!! sasa Barbie huyo small house alijua jamaa ameoa kweli???
ngoshwe jana nimeonana na shem wangu, alinical tuweze kukaa anipe hali halic, alikuwa analia tu na kusema hajui ni shetani gani aliempitia na kumfanyia hivyo mkewe, na alivyoondoka juzi alienda kulala kwa huyo mwanamke wake lakini asubuhi pombe zilivyomuisha kichwani na kukumbuka alichofanya ndio akatoweka anakokujua yeye, cna msaada nae lakini nilimwambia ukweli kinachoendelea na nikamshauri arudi tu nyumbani kwake mana hakuna lolote atakalofanyiwa coz mkewe kasema acfanyiwe lolote...anajuta analia kama mtoto na nilipomuambia mimba imeharibika/imetoka ndio imemchanganya zaidi.....madai yake ni kuwa ataipambania ndoa yake kufa kupona....hajadhubutu kwenda hosp lakini nyumbani kwake amerudi.....
Babra, la muhimu hapa ni kumsaidia rafiki yako kwanza kupumzika na kuyapitia yote hayo yaliyotokea kwa umakini wa hali ya juu sana. Hiki ni kipindi ambacho anapaswa kuupitia uhusiano wake na mumewe. Na ninyi marafiki na ndugu zake kumsaidia kutohalalisha uamuzi wake wa kutengana na mumewe kwa haraka...hata kama mwishoe ndio utachukuliwa. Yapo mengi hapa hatuyajui japo hili la kumpiga na kupoteza kiumbe alichoshiriki kukitengeza si jambo la kuacha lipite. Mimi nashauri tu hekima itawale katika kulikabili hili. Maisha ya ndoa na familia ni zaidi ya kile kinachoonekana juu. Mpe pole sana rafiki yako na hata huyo shemeji yako...pengine anahitaji ushauri wa wataalamu
we tena dada zao wakitendwa wao ni wakali ile mbaya Lulu!!! men are very complicated, ni ngumu kujua hata wanachotaka, love them, respect them, trust them, do watever you think kitaongeza mapenzi kwao........mwisho wa siku watakuliza!!!!!!
wanaume mnatakaga nini kwani cha ziada jamani!!!
anajua vzuri sana, na ktk kumdadic inaonekana huyu mdada wapo nae muda mrefu, na kama jpili mr anamchukua mtoto madai wanaenda car wash lakini anaenda kushinda kwa huyo mwanamke, kaniambia vitu vya ajabu ajabu tu namuona zinamruka cjui....
My dear alws watu wanamsingizia shetani,hata kama kafanyiwa dawa si kataka mwenyewe?kama angeridhika na mkewe na kuacha macho juu angekutana na hayo wapi?tamaa zake zimemponza,wanaume wepesi sana kuanzisha nyumba ndogo kisa wanakimbia matatizo na stress za hme kwao,sijui nani kawadanganya nyumba ndogo ni malaika n hawana makosa!!!!!!!!!kwakweli inasikitisha sana dia,sasa anajuta na kulia maana anajua udhaifu wake hakuna wa kumsaidia isipo kuwa mkewe.siwezi kumsemea ur friend sijui walikotoka n ol that but kiukweli anything that hurts u its not urs,anaekupenda,kukujuali na kukudhamini hawezi kutaka ufikwe na baya loloye.Tell her there are many frnd out here wo want to see her happy and always we love her as a lovely sister n no matter wat she is still beautiful.Baibo imesema"SHIKA SANA ULICHONACHO KABLA MUOVU HAJANYANGA'NYA
tumeshapoa mami, ndio ukubwa huu! unajua Pearl jana nilikuwa namwangalia shem wangu anavyolia mie nabaki nashangaa tu, ananiambia cjui huyo mwanamke wake amempa nini mpaka akamtendea mke wangu maovu hivyo, anasema hataweza kuishi bila mke wake...atapambania ndoa yake hata haamishiwe wapi.
sisi wanawake nasiye aaaah!!!! kwa hiyo hapo alitaka mwenzie aachwe yeye aolewe!!!!! amekosa mwana na maji ya moto!!!
huyo shemeji yako lazima zimruke hilo jambo si mchezo!!!!!
Luv. umemwambia kuwa aache usanii? Unajua kuna cases ambazo hata kama mkewe hataki kumshtaki lakini Jamhuri inaweza kumshtaki au raia wema tu (citizens) sasa hapo nadhani baba mdogo wake mafanye mambo mkewe atakuwa shahidi
halafu aache hiyo kauli ya "KUPIGANIA NDOA YAKE" na kumsingizia shetani! Please
Babra ... kwanza pole sana na yaliyokusibu toka jana ... nampa pole rafiki yako na naahidi kumjumuisha katika maombezi yangu ya leo.
Niseme tu kuwa nilikuwa nafutailia kisa hiki hatua kwa hatua tangu jana na nilisita kuchangia nikisubiri hatma ya janga lenyewe na kujizuia kuchangia kwa kufuata 'emotions' zangu zaidi ya uhalisia. Kiukweli jamaa amefanya makosa makubwa sana na ni tendo la haibu sana kwa wanaume hasa ukizingatia wanaume wenyewe wengi wameelimika kuhusu huo mfumo dume. Maoni yangu nahisi yatakuwa tofauti kidogo na wengine lkn naomba yaheshimiwe:
1. Ningekushauri umshauri rafiki yako achukue na afikie hatma ya maamuzi yake bila kuwa influenced na ndugu zake .... i mean mwacheni afikirie yeye mwenyewe kwa kina kwamba anachoamua ndicho na sio awe obliged kufuata emotions za ndugu zake; ninasema hivi nikiwa na kumbukumbu ya matukio kama haya ambapo ndugu huwa wanashawishi maamuzi magumu yachukuliwe lkn ndio wanakuja kuwa wa kwanza kuwasimanga na kuwacheka kwa maamuzi yao.
2. Nikichukulia pia kuwa huyo mumewe hilo ndio kosa kubwa na la kwanza kwa mkewe (kama nimekusoma vizuri) nadhani isingali kuwa busara kama atafikia uamuzi huu kwa ghafla namna hiyo ... we know devorce procedures takes time lkn binafsi nisingalishauri wafikie huko ... nashauri familia zao zikutane kwanza na kujadili hilo tatizo kama linaweza kutatulika then ni vyema na heri kuliko kufunga kabisa any room for reconciliation ... hatutakuwa tumetenda vyema kwa kweli!
3. Ningeshauri pia kama ni waumini wazuri then wawashirikishe viongozi wao wa dini .... ni vyema nafasi ya Muumba wetu ikaheshimiwa na sio tusukumwe na hisia zetu za kibinadamu!
@ Pearl ... dada najua inauma sana lkn kumshauri tu atafute mtu mwingine kwa sasa sidhani kama ni vizuri ... naamini kila mtu ameumizwa na tatizo hili lkn ni vyema busara ikatumika!
siku hizi kuna kautamaduni fulani ambapo watu huwa wanafurahia sana wanapoona ndoa zinavunjika ili ku-justify kwamba hakuna umuhimu wa ndoa ... i dont think this is true! kuna ambazo kweli haziwezekani hasa kama hazikustahili kuwa ndoa (haukuwa mpango wa Mungu) hivyo hizo zastahili kubatilishwa lkn kwa zile ambazo zaweza rekebishika then ningeshauri tujitahidi wanajamvi kushauri vizuri na kupunguza hasira na hisia. I'm sure this is gona be a very long debate .....
And He answered and said to them, Have you not read that He who made them at the beginning made them male and female, and said, For this reason a man shall leave his father and mother and be joined to his wife, and the two shall become one flesh? So then, they are no longer two but one flesh. Therefore what God has joined together, let not man separate.
Kudos Babra!
MDBD
luv mie jana namwangalia tu anavyomwaga machozi hadharani, nabaki nashangaa tu, cmuelewi inachomliza luv....ucdhubutu hii kabisa luv, mpende/mdhamini/mjali mkeo, hivi luv mie nimeshakuwa muoga kabisa, yaani cjui nitairudiaje hali yangu ya mwanzo.....nahc kumuogopa mpaka mr.
my dia Madabwada
mimi sijamshauri atafute mtu mwingine,Thats y nikasema siwezi kumzungumzia nafsi ya huyo rafiki yake babra,coz for sure kama ni mm ningeenda kupumzika kwanza kama miezi 3 then ningemsamehe maana ni mume wangu,hakuna alie mkamilifu ktk dunia hii,tunawapenda sana but mnatukwaza sana.Its said beta ze devo you knw than the Angel you dont no."@ Pearl ... dada najua inauma sana lkn kumshauri tu atafute mtu mwingine kwa sasa sidhani kama ni vizuri ... naamini kila mtu ameumizwa na tatizo hili lkn ni vyema busara ikatumika!
my dia Madabwada
mimi sijamshauri atafute mtu mwingine,Thats y nikasema siwezi kumzungumzia nafsi ya huyo rafiki yake babra,coz for sure kama ni mm ningeenda kupumzika kwanza kama miezi 3 then ningemsamehe maana ni mume wangu,hakuna alie mkamilifu ktk dunia hii,tunawapenda sana but mnatukwaza sana.Its said beta ze devo you knw than the Angel you dont no!
luv mie jana namwangalia tu anavyomwaga machozi hadharani, nabaki nashangaa tu, cmuelewi inachomliza luv....ucdhubutu hii kabisa luv, mpende/mdhamini/mjali mkeo, hivi luv mie nimeshakuwa muoga kabisa, yaani cjui nitairudiaje hali yangu ya mwanzo.....nahc kumuogopa mpaka mr.
ooh jamani sasa huyo mwanaume atasema ni shetani alimpitia au ilikuwaje ?
Hili tukio linaumiza ubongo