Imenikera sana hali hii

Ningekuwa mimi ningewafungulia kesi ya shambulio la kudhuru mwili na matusi ya nguoni baada ya kuripoti polisi na kupewa PF3. Baada ya hapo nahakikisha wanafungwa kisha wakapasuliwe masaburi yao na mashefa ya jela tehe tehe tehe.
 
Uchungu pekee na mkubwa kwa mwanaume ambao hauishi kamwe ni ule wa kujua kuwa mkeo 'anabebwa' na mwanaume mwingine. Msione tunawatenda, when it backfires we do not forget forever. Kuna mengi tunayowaza............sijui jamaa kamla 'tigo' mke wangu?,......sijui jamaa ana mashine kubwa hivyo kamharibu mamsapu wangu?..............sijui jamaa ana maujuzi makali kuliko mimi hivyo mke wangu ameshaona kumbe mimi cha mtoto?..........Hebu ongezeeni mengine wakuu
 
Ningekuwa mimi ningewafungulia kesi ya shambulio la kudhuru mwili na matusi ya nguoni baada ya kuripoti polisi na kupewa PF3. Baada ya hapo nahakikisha wanafungwa kisha wakapasuliwe masaburi yao na mashefa ya jela tehe tehe tehe.

Halafu wakishafungwa unabinafsisha na mzigo jumla wa hasira.
 
Hiyo nayo ni akili wajameni? Unaenda kudeal na mtu anayetoka na mpenzi wako, inamaana ukimpiga huyo then gf/bf wako akahamia kwingine na huko utaenda kupiga tena? No wonder huyo kaka analazimisha penzi!
 
penzi la kulazimisha lina raha gani?...................na huku wachukua sheria mkononi.........................
 
…Hivi wenzangu ni halali kuumizana kwa ajili ya mapenzi?

Kupigana na Kuumizana kwa ajili ya mpenzi siyo mapenzi, ila ni matokeo ya mapenzi kwa yule ambaye uwezo wake wa kufikiri umeathirika ..labda kwa kutojua kuwa inawezekana demu anayempigania wala hampendi au mwanaume hajiamini ya kuwa hatampata mpenzi mwingine kama huyo.. Ni dalili ya kukosa kujiamini na utoto au usela wa bangi etc..
 
Sio rahisi na kawaida kuanza kumpa kichapo mtu usiyemfahamu wala hujawahi kumwona, so inawezekana hao wanafahamiana vizuri na kujuana vilivyo,
aliyepigwa hana demu?
Ana hakika hakumsaliti mtu wake?
Kama alisaliti anadhan dem wake anamtazaje kwa hyo aibu na usalit wake?
hakujua kuwa huyo ni demu wa mtu?
Na hata kama dem alimfuata haina maana ajirahis hvyo, kwan angekataa ili kumheshimu waukwel wake angedhurika? Huo ndo udhaifu wetu boyz eti 2naonesha ulijali.
Lakin siafiki yeye kupigwa ila kajifunza kama cku nyingine, na kupigana ni mapenzi ya kitoto na ulimbukeni. Pole yake sana ndo game za love zilivyo so akomae kama vp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…