Imekula kwa nani kati ya hawa?

Imekula kwa nani kati ya hawa?

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,983
Binti alienda kwa daktari huku analia kwa uchungu!Mazungumzo yao yalikuwa hivi:
Dr:Unalia nini?
Binti:Nimemtukana boyfriend wangu kwa kumwambia yeye na mbwa mkubwa!
Dr:Heeee!Kwa nini?
Binti:Alikuja na kunibusu!
Dr:Kama hivi?{Anambusu binti}
Binti:Eeeh,hivyohivyo!
Dr:Halafu?
Binti:Halafu akanishikashika matt.
Dr:Kama hivi?{Anamshika}
Binti:Eeh,hivyohivyo!
Dr:Eeh...
Binti:Halafu akanivua nguo zote na kunipandisha kitandani,naye akavua!
Dr:Kama hivi?
Bint:Eeh!
Dr:halafu...
Binti:Tuka do mavituz!
DR:Ka---aaaa--ma hi-viiiiiiiiiiiiiiiiii??
Binti:Eeeeeehhhhh-arrrrrrrsghhhhhhh!!!
Dr:Halafu?
BINTI:Halafu huyo mvulana akaniambia ameathirika na UKIMWI,nA kunionesha vyeti!!!!
Dr:Aaaaaaaaaaaaaaaahhhh,wewe binti ni mbwa,shetani na mwanaharamu mkubwa!!!!!!!!!
 
Ila dr ndo imekula kwake, kama ni mimi namkata shingo huyu binti
 
Nirudishie mbavu zangu...hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Kila dhambi aifanyayo mwanadamu ni nje ya mwili wake, lakini dhambi ya uzinzi ni ndani ya mwili.
 
Huyo dk ni good entrepreneur, coz;- he use the opportunity effectively, he also take risk,
 
Duh Docta hiyo ndo faida ya onja onja,lkn siku moja tu ngoma haiingii maana hakuna mchubuano
 
tamaa mbaya,daktari amekoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom