Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 612
Hii tabia ya wadada/wamama kuanika nguo zenu za ndani hasa vyupi hovyo kwenye kamba mtaacha lini?
Maana kunakua na kero kuviona vyupi vikielea tu kwenye kamba hasa hizi nyumba za kupanga yaan kero tu.
Vyupi, taiti na vile vitambaa vya bleeding sijui[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]