Imekaeje hii Wanajamviii!!!

Kweli siku hizi hii JF!!!!!!! Yaani mpaka hili nalo tuna anzisha thread? Nami naanzisha hivi kwanini GF wangu sijamsikia akijamba? Hebu jamani wazoefu nielezeeni!! nateseka mwenzenu sijamsikia....:yawn:

kazi kweli kweli. mi nadhani hili swala angejadili nae angepata jibu zuri kuliko hii michango atakayoipata humu.
 
Njoo huku mwaya yani navyojua kudeka utaning'ang'ania kama luba sauti yangu tu utairecord iwe inajirudirudia ukiwa umelala.Kama huna cha kuandika kuwa nutro kama mimi
 
yap, well said my dear,
kila siku wanatangaza humo kwenye vyombo vya habar (vunja ukimya), maana yake mweleze penz wako yanayokusib kutoka kwake,,,[

Mueleze unapenda kudekewa........QUOTE=Purple;4392918]Kwa hiyo ukidekewa wewe buruudaniiii..mwambie sasa![/QUOTE]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom