imekaa hivyo hivyo, 'kumegana kwa siri'
Afu ana lalamika eti, vipi umtambulishe mtu gf wako kwa wanaume, hivi jamaa anadhani wanaume wote wanalaza damu :biggrin1:imekaa hivyo hivyo, 'kumegana kwa siri'
Yani nakuonea huruma kabisa we ulidhani mchezo hapo, naomba na mimi unijulishe naye huyo gf wako :biggrin1:najuta kuanzisha thread hii..utadhani ugomvi..Jaribuni kuwa wastaarabu ustaarabu hau-uzwi dukani
ahahahahhahahhahahhahhahhahahahha yani nilipoona tu upo hapo kwenye huu uzi nilihsatengeneza majibu yangu na kweli kama ulikuwa nami akilini!ahahhahahahhahhahahha yani nimecheka sana!duh!
najuta kuanzisha thread hii..utadhani ugomvi..Jaribuni kuwa wastaarabu ustaarabu hau-uzwi dukani
teh teh teh "abiria chunga mzigo", ila kwa ustaarabu mtu rafiki akishakutambulisha basi mheshimuwazungu wanamsemo huu hapa
tatizo wabongo wanadhani kutembea na mpenzi wa rafiki ni sifa na 'urijali' hence msemo wa "abiria chunga mzigo wako"
- for men --> bros before hoes
- for women --> chicks before d!cks
Ushawahi kumegewa?