imekaaje hii wanajamvi?

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
251
hv wadau imekaaje hii unakuta unamtambulisha demu wako kwa mshkaji wako afu baada ya muda mshkaji wako anakuibia demu ako wanamegana ila wanakubaliana iwe wanamegana kwa siri, au kama ni demu utamtambulisha bf kwa shosti zako then baada ya muda shosti anakuchukulia bf wako wanamegana tena wanakubaliana iwe siri?
hii imekaaje manake kwangu mimi huwa inakuwa ngumu sana kuwaza hilo limekaa vp
 
imekaa hivyo hivyo, 'kumegana kwa siri'

ahahahahhahahhahahhahhahhahahahha yani nilipoona tu upo hapo kwenye huu uzi nilihsatengeneza majibu yangu na kweli kama ulikuwa nami akilini!ahahhahahahhahhahahha yani nimecheka sana!duh!
 
najuta kuanzisha thread hii..utadhani ugomvi..Jaribuni kuwa wastaarabu ustaarabu hau-uzwi dukani
 
najuta kuanzisha thread hii..utadhani ugomvi..Jaribuni kuwa wastaarabu ustaarabu hau-uzwi dukani
Yani nakuonea huruma kabisa we ulidhani mchezo hapo, naomba na mimi unijulishe naye huyo gf wako :biggrin1:
 
he he he, anauliza makofi polisi wa TZ?

ahahahahhahahhahahhahhahhahahahha yani nilipoona tu upo hapo kwenye huu uzi nilihsatengeneza majibu yangu na kweli kama ulikuwa nami akilini!ahahhahahahhahhahahha yani nimecheka sana!duh!
 
sasa wamegani kwa siri wewe ungejuaje? au wewe ndio unawamega magoma ya marifiki zako lolo
haya bwana imekaa ki sexmate sexmate....kuna watu wengine kama mie ambao upenda kuonja utamu anaopata rafiki yangu
 
Hii ni kukosa ustaarabu kuliko pitilizaa..! Mtu aliyestaarabika hawezi kufanya huu upuuzi..!!

Yaan rafiki wa bf aanze kunifukuzia.. Mmmh.. Atajuta kuzaliwa..!!
 
wazungu wanamsemo huu hapa
  1. for men --> bros before hoes
  2. for women --> chicks before d!cks
tatizo wabongo wanadhani kutembea na mpenzi wa rafiki ni sifa na 'urijali' hence msemo wa "abiria chunga mzigo wako"
 
teh teh teh "abiria chunga mzigo", ila kwa ustaarabu mtu rafiki akishakutambulisha basi mheshimu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom