imefika muda nami nianze kuchangia

Burigi

Member
Jan 11, 2011
45
81
Habari wachangiaji wote wa jamii forums, nimeshawishika kuwa mchangiaji wa mada mbalimbali zinazoendelea humu ndani baada yaa kuwa msomaji tu wa mtandao huu kwa muda mrefu hivyo ninawataarifu kuwa nami nitaongeza nguvu katika uchangiaji wa hoja mbalimbali lengo ikiwa ni kuhabarisha jamii na kuleta mapinduzi mbalimbali ndani ya jamii
nashukuru sana ni matumaini tutashirikiana
 
tutashirikiana ... hamna shida...isije ikawa wewe ni MS.., DSM, Topical, Charityboy, Kishongo.., Z NA geniusbrain.., hatutashirikiana n'go
 
Mimi ni mtu makini nakuja kutoa michango makini kwa ajili ya kujenga jamii makini usinihofu kabisa tupo pamoja mimi siyo shabiki wa jambo lolote ni mjenga hoja bila kuwa na upande wowote ule.
 
kumbe unawafahamu hao ni mashabiki.... very good.... Ra amekupa shillingi ngapi
 
Back
Top Bottom