Imediatelly help to My HTC ONE pls!!!!!!!

Imediatelly help to My HTC ONE pls!!!!!!!

Howt Lady

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
1,518
Reaction score
471
Salaam Buddies!!!!!!!!!
Natumia HTC ONE na haijawahi kunisumbua ata kidogo ila tangu majuz Nikitaka kudownload app yoyote ile kwenye Playstore inagoma na kuniletea sms hii
ATTENTION
A NETWORK ERROR HAS OCCURRED RETRY OR CANCEL AND RETURN TO THE PREVIOUS SCREEN......na kila niki RETRY inaleta the same message.......

PILI
KILA NIKIPLAY ANY VIDEOS KUTOKA KWENYE SOURCE YOYOTE ILE INALETA SMS HII
"CAN NOT PLAY VIDEO UNABLE TO CONNECT TO SERVER"
Na internet server zangu ziko ok kabisa.....any help pls......Ahsanten!!!!!!!
 
Jaribu kutumia laini nyingne i mean kama unatumia voda try airtel or tigo.
 
ondoa battery kwa dakika au zaidi, then rudisha acha iwake au washa then tulia mambo ya jilodi. jaribu uliyotaka fanya before. I hope ita solve tatizo lako if not sema...
 
That means connections ya internet haiko sawa whatever line unayotumia hakikisha network settings ziko sahihi
 
Unatumia mtandao gani?kama ni Voda ni PM nikupe trouble shoot..
 
ondoa battery kwa dakika au zaidi, then rudisha acha iwake au washa then tulia mambo ya jilodi. jaribu uliyotaka fanya before. I hope ita solve tatizo lako if not sema...

Ahsante mkuu Ngoja nifanye ivyo
 
Weka line nyingine ya tigo uone itafanyaje it could be the sim card problem ila huwez jua untill u test with some other sim card do that ikifaa then ur sim card has data barrier
 
Back
Top Bottom