Imebaki story

Dunia ina mafunzo mengi....ila muombee mazuri ili mwanao aje kufaidi vya baba yake

Muda huo sina,kila mtu aubebe msalaba wake
Before ndio nilikuwa namwombea mabaya but since nimove on hata simwombei heri wala shari
 
Inawezekana kuchoka kwake ndo kunakupa nguvu yavkumuandika humu... under normal circunstance, yeyote uliyeachana naye kwa ugomvi, unamwomnea yamkute tukuamini kuwa kwa kukamatika kwao wataona walichopoteza...
 
Unaakili sana wewe
 
Ila jamaa umemwandikia thread nyingi JF, Naamini akitaka Kukumbushia hautamnyima, single mothers Ndio maana tunawaogopa
 
Iwish na Mimi Mungu ashushe muujiza wake siku itokee nine move on.....nitafunga kwa ajiri ya shukrani kwa Mungu
 
Ila kwa uzoefu wangu akiomba sorry akitaka papuchi hupindui, ndo mana unapenda awe anakuja kumcheki mwanae huenda kuna siku mtakua wawili tu.
 
ndani ya 6 months umeeachana na mzazi mwenzio na tayari una mahusiano mapya.....ok kaza but....ila kama unamruhusu kumjulia hali mtoto ..imekaa njema..... by the way kitu kinachotusumbua ni namna ya matunzo ya mtt,,, but akiwa ktk mikono salama...walaaa hatunaga maumivu....
 
hongera lkn kwann wanawake ukiachana nao uwaga wanapenda kuwaombea mabaya wapenzi wao mara kumfeed ujinga mtoto,by the way wewe kdg upo tofauti so lea mtoto km mwanamke anaejielewa sio kiuhuni...mwache baba nae afanye yake sio uombee achoke coz ukifa wewe mtoto atarudi kwa baba yake sasa km ww unashinda kuomba achoke nkushauri upunguze mapenzi kwa ex wako ili roho iwe nyeupe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…