Imebaki miaka Miwili (Two years Left)

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,201
Nina maswali mengi ya kujiuliza kwenye hii miaka miwili iliyobaki kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Je watanzania wammechoka kweli na wataonyesha hasira zao kwenye Sanduku la kura au ni Zuga zuga tu ya watu wachache wa kwenye mitandao lakini ana watu wengi wanaomuunga mkono Nyuma ya hao.


Ni miaka miwili sasa imebaki lakini kuna Ambao watasema Bado ni mapema sana kuhoji Zile ahadi zake alizosema na kuziahidi kwenye kampeni.

Je zile milioni 50 za kila kijiji zitapatikana kabla ya mwaka 2020.?

Je Laptop kwa kila Mwalimu nazo zitakuwa tayari kabla ya 2020.?

Na vipi kuhusu Mikopo ya wanafunzi wa chuo itakuwa 100℅ kwa kila muhitaji kabla ya mwaka 2020.?

Sijasahau Ajira kwa vijana walioitimu nayo itakuwa historia kabla ya mwaka 2020.?


Vipi kuhusu Sera ya Viwanda tutakuwa na Viwanda vikubwa vingapi kabla ya mwaka 2020?


Kuna maswali mengi zaidi ya hayo lakini jibu ya hayo yote ni Muda ndio Utaongea na kuyajibu Let's wait and See.



Happy New Year.
 
Duuh miaka haichelewi Jana 2017 Leo 2018 kesho kutwa 2020 raha sana
 
Reactions: PNC
Miaka miwili imebaki Tundu Lissu amtoe mtu mavi saa nne asubuhi!
Unaota ndoto za kwenye godoro la bibiyako
angalia katiba ya Kenya ni nzuri kuliko ya Tz kwenye swala la democrasia
Odinga ameshidwa kuwa raisi sembuse hapa??
 
Unaota ndoto za kwenye godoro la bibiyako
angalia katiba ya Kenya ni nzuri kuliko ya Tz kwenye swala la democrasia
Odinga ameshidwa kuwa raisi sembuse hapa??


Bwana Kapita,ni vizuri na una ruksa ya kuota ndoto kama mimi nilivyoota kupitia post yangu..

Wote tunaota ndoto,hamna ndoto valid zaidi ya mwingine

Cha msingi tusubiri mpaka itokee then kesho yake tutajua ndoto ya nani imekua sahihi zaidi ya mwingine..

Haina haja ya kutukanana wakati zote bado ni ndoto..tutakua tunapoteza muda...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona umehamia kwenye godoro la babu sasa
Unategemea tume ya uchaguzi ambapo mwenyekiti anachaguliwa na rais
impe upinzani kiti cha urais ????
U must be joking!
 
Naona umehamia kwenye godoro la babu sasa
Unategemea tume ya uchaguzi ambapo mwenyekiti anachaguliwa na rais
impe upinzani kiti cha urais ????
U must be joking!

We will set all those before 2020....

Una haki ya kubwata utakavyo mzee...Ili mradi tu usiingize matusi,atleast tuwe na mjadala decent!

[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️
 
kuhusu suala LA watanzania kuchoka hilo liko wazi kama nyeti za mbuzi ...
sema kukaa nakuamini kuwa ccm wataanguka kupitia chaguzi kuu nikujiongopea njenje
katiba ya Taifa hili nikimeo ..nadhani tumeona TUME INAITWA TUME HURU lakini bado imekuwa na upendeleo kwa chama tawala..
kuitoa ccm madarakani yahitajika viongozi vichaa waliokosa mshipa wanoma na aibu ..kisha waingie AMAZON wakinukishe basi...lakini hvi hvi hawajaama hawawezi kukubali kunyanyuka walipokaa kwasababu wameshazoea utamu wanaoupata kwakutafuna malo za umma
 
We will set all those before 2020....

Una haki ya kubwata utakavyo mzee...Ili mradi tu usiingize matusi,atleast tuwe na mjadala decent!

[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️
U dont know what come next, your mind are shuttered
2020 call me if at all we manage to get there
 
Miaka itembee jaman..nyie nunueni wabunge sisi tukapige kura
 
Vipi na ile ahadi yake ya kujenga hospitali za rufaa kila mkoa. Ataitekeleza? Naomba tukifika 2020 tumuulize hili na atupe majibu.
 
U dont know what come next, your mind are shuttered
2020 call me if at all we manage to get there


Mbona unatoa matokeo tayari na 2020 bado?
Au unatoa maoni?Kama ni maoni basi sawa!

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hii thread imenikumbusha kile kisauti
"Anna Elisha mngwira ACT kura 820 sawa na asilimia 0.002"
Dah kile kibabu haya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…