Imebainika top 5 ya CCM hii hapa!!

Imebainika top 5 ya CCM hii hapa!!

ndugu yako

Top 5 ya Majangili yaliyokubuhu. You cannot stay in a system which is corrupt and pretend you aren't one of them.
 
Last edited by a moderator:
ndugu yako

Bahati mbaya hujui mambo dogo,hapo Mizengo,Asha na Ramadhani wanaingia moja kwa moja kwa sababu za kikatiba Ccm hvy basi lundo la watu wengi waliobaki nafasi yao ni moja fanya replacement ya hayo majina matatu ndo urudi tukupe shule kwanza
 
Last edited by a moderator:
Kumweka Engolo wa kwanza ni wazi kuwa list hii siyo yenyewe
 
Haya ndiyo majina matano yatakayoteuliwa na CC ya CCM kwenda NEC:-

1) Edward Ngoyai Lowassa
2) Dr. Asha Rose Migiro
3) Judge Augustino Ramadhan
4) Prof. Mark Mwandyosya
5) Mizengo Peter Pinda.

Mtoe Migiro weka Membe
Mtoe Jaji weka Bilal makamu
Funga mahesabu
 
Back
Top Bottom