Imebainika top 5 ya CCM hii hapa!!

Imebainika top 5 ya CCM hii hapa!!

ndugu yako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
193
Reaction score
97
Haya ndiyo majina matano yatakayoteuliwa na CC ya CCM kwenda NEC:-

1) Edward Ngoyai Lowassa
2) Dr. Asha Rose Migiro
3) Judge Augustino Ramadhan
4) Prof. Mark Mwandyosya
5) Mizengo Peter Pinda.
 
Kwani wewe ndiye Katibu Mwenezi wa Chama cha Magamba?
 
1, Masanja mkandamizaji, 2, Bambo, 3, Mhogomchungu, 4, Majuto, 5, Masele.
 
Yaani hapo namba moja umekosha sana roho yangu,penda sana mimi mamvi a.k.a EDO

Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono........hii statement inaonyesha dhahiri huyu ni jembe chapa mamba
 
faking the fake fakes makes it Original
 
Nnavyoona mimi hiyo list hapo unaweza ukawa ila Lowasa hawawez muweka na hapo litaongezeka jina na kike
 
Mzee Yahaya amepata bahati ya kuacha mazalia kila mtaa hapa Tz
 
Yaani watu mnatoa matokeo ya maamuzi ya vikao kabla vikao havijafanyika! Yaani mko juu!
 
ndugu yako

Happy to see my President to be! .......Go Go My President!
 
Last edited by a moderator:
Haya ndiyo majina matano yatakayoteuliwa na CC ya CCM kwenda NEC:-

1) Edward Ngoyai Lowassa
2) Dr. Asha Rose Migiro
3) Judge Augustino Ramadhan
4) Prof. Mark Mwandyosyai
5) Mizengo Peter Pinda.
Mbona orodha yako imechanganya mamba na kenge?
 
Back
Top Bottom