Imani za kishirikina baaaaaaaaaaaaaaado kabisa bongo soka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imani za kishirikina baaaaaaaaaaaaaaado kabisa bongo soka!

Discussion in 'Sports' started by Magehema, Oct 26, 2010.

 1. M

  Magehema JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Juzi nilikuwa naangalia news bulletin kupitia Star TV, wakati wa kipindi cha michezo wakaonyesha clip ya mechi ya Simba vs Mtibwa wakati wakipeana mikono na mgeni rasmi, cha ajabu ni kwamba Amri Kiemba wa Simba alikataa kumpa mkono mgeni wa rasmi wa pambano lile. Hizi imani za ajabu zitakwisha lini???:sad:
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kwaninin ukimbilie huko labda kamchukulia mke?
   
 3. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180

  si ndio wakati wa kukumbatiana na kumshukuru kwa kumtunzia....kachemsha huyo yawezekanaa alikuwa kabeba mikoba ya sikuhiyo kama siku simba na yanga live unaona huyu kajitwika leo wanajua wakigusa wamekwenda
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wabongo aka wa-TZ ni sie wenyewe tunalea imani... yani wewe cha kwanza umedhani ni uchawi... dah
   
 5. M

  Magehema JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mambo yapo wazi, sio mara ya kwanza, na bahati nzuri I was once a footballer so nayajua hayo mambo. Katika normal circumstances huwezi ukakataa kusalimiana na mgeni rasmi!
   
Loading...