Imani ya ushirikina unavyotawala 90% ya uchimbaji dhahabu

Imani ya ushirikina unavyotawala 90% ya uchimbaji dhahabu

Ungeendelea basi tujue uliipata na ulifanikiwa kuuza kwa imani ipi maana 😱😱😱

Na kwa wewe kuwasubiria wakupatie mali hapo nami naona ulikubali kwa kupitia wao na rohoni hadi ukajua waliambiwa nini na nini 😱

Mshana Jr njoo huku usome
Lengo langu ni kuchimba/kufanya kazi hivyo nisingeweza kukataa imani yao ya giza ambayo haina tofauti na mazingaombwe kipindi niko shule ya msingi. Sijafikia kimo nilichoambiwa na geologist japo particle za dhahabu zipo tangu hata huyo mganga wao hajafika
 
Hapa unatakiwa uwe na ma crusher yako moja au mbili za kuanzia. Unaposaga unakuwa na mwalo wako wa kuosha na kukamatisha (lugha za machimboni) dhahabu kwa mercury. Uchimbaji una gharama na mambo ya ovyo kama haya ya kuamini dhahabu utaipata kwa ushirikina huku huyo mganga akiwa na ndugu na marafiki maskini na fukara lkn kashindwa kuwatajirisha. Wachimbaji imani yao ni ngumu sana kuwashawishi kumwamini mungu pekee na ukiwa against nao wanaweza hata kukuachia shimo bila wafanyakazi. Cha msingi ukianza uchimbaji baki na imani yako tu
Crusher nawezapata nataka nikaanzie mwalo Wangu,na crasher zangu na sehemu ya kuchenjulia pia,pia niwe broker Niko dar kambi popote sijajua wapi pana mzigo wa kutosha hadeni,singida,Dodoma au morogoro.
 
Crusher nawezapata nataka nikaanzie mwalo Wangu,na crasher zangu na sehemu ya kuchenjulia pia,pia niwe broker Niko dar kambi popote sijajua wapi pana mzigo wa kutosha hadeni,singida,Dodoma au morogoro.
Nenda vijiji vilivyoko sehemu inaitwa Bulyanhulu Kahama ukifika huko nitafute kwa sasa niko mbali kidogo ila takuwa huko July
 
MARUDIO LUNDO LA TRIP 8 ZA MCHANGA WA TIPA LINASOMA DHAHABU (AU) 2.65 PPM, COPPER (CU) 44.66 PPM LIKIPELEKWA PLANT KWA AJILI YA KUOZESHWA DHAHABU INAWEZA KUPATIKANA GRAM NGAPI?????????????// MSAADA
 
Back
Top Bottom