asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 146
Ole wake anayemtegemea mwanadamu na kumuweka yeye kama kinga yake. Hakuna mganga anayependeza machoni pa mungu usiharamishe haramu kuwa halalininachojua kuna uganga kwa maana ya tiba za jadi na uchawi.... sasa mama yako sjui yuko upande upi.
Nafikir hujanielewa mkuu ila tufanyaje yamepitaOle wake anayemtegemea mwanadamu na kumuweka yeye kama kinga yake. Hakuna mganga anayependeza machoni pa mungu usiharamishe haramu kuwa halali
Jitahidi sana umbadilishe.Ndio kinachoniumiza mama yangu anaangamia hivi hivi kweli?
"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa".....Hosea 4:6Watu Wangu wanapotea kwakukosa maarifa.
Achana nao we endelea kusimama kwenye imani unayoiamini.
Nilitaka ku-comment hivyo..Mbona mimi sioni tofauti ya mama yako na hao unaowaita watumishi?
Watumishi wamekwambia mdogo wako KAFUNGWA NA WATU, kwangu mimi naona kama waganga wa kienyeji tu hao watumishi
biblia inasema amelaaniwa mtu yule amfanyae mwanadamu kuwa kinga yake na huku moyoni mwake amemwacha MunguKutumia matunguli hapana,lakini matibabu ya mitishamba nayo Ina tatizo?...sidhani.
sio wote watakao niita BwanaBwana ndio watakao urithi ufalme wa mbinguni bali wale wayatendao mapenzi ya Mungu.Nilitaka ku-comment hivyo..
Watumishi sijui wachungaji wa Kilokole hawana tofauti na Waganga wa kienyeji..
Kweli kabisa!Jitahidi sana umbadilishe.
Tatizo si kuwa anaangamia peke yake ila vitu anavyopewa huko ugangani anavileta nyumbani na vitawaangamiza wenye imani haba hapo nyumbani.
Mfano mzuri mdogo wako lazima atamshawishi aende au amuendee mwenyew kumrekebishia kumbe anamwangamiza mwanae mwenyewe.
Simamia imani na hakikisha familia yote inabase kwenye imani ili hata hivo vitakavyoletwa huko ugangani vikose nguvu.
Halafu waganga wanatabia ya kuharibu familia za watu mana hashindwi kumwambia ndugu yako ndo kakuchezea na hapo ndipo amani huwa inatoweka.
Mungu akusimamie katika kipindi hiki kigumu.
Kama tulikuwa na mawazo sawa. Hapo ndipo mawazo ya kucharanga mapanga huanziaMbona mimi sioni tofauti ya mama yako na hao unaowaita watumishi?
Watumishi wamekwambia mdogo wako KAFUNGWA NA WATU, kwangu mimi naona kama waganga wa kienyeji tu hao watumishi
Usikate tamaa, endelea kusimama imara kwenye imani ukizidi kumuombea mama yako ilo pepo limtoke pia endelea kumuombea na mdogo wako, usisahau kufunga na kuomba Kwa imani. Mungu wetu ni mwaminifu atakujibu.Hata ile hamu yakwenda nyumbani kusalimia imeniisha kabisa, maana tunaombaga pamoja yaani anyway nitazidi kumuombea
Nikweli kutokana na kwamba technical karibu zote anazotumia shetani alizicopy kutoka kwa Mungu, kwahiyo basi huwa anatumia kwa namna ya uangamizi sio msaada, kwamaanahiyo maagizo anayotumia mganga wa kienyeji yanatoka kwa spirit ya shetani na mmagizo anayotoa mtumishi wa Mungu yanatoka kwa spirit ya Mungu, sometimes wote wanaweza sema kitu kimoja ila namna yakutatua ikawa tofauti kabisa, kwa Shetani Kuna majuto na kufeli sana ila kwa Mungu Kuna amani na ushindi wakati woteNilitaka ku-comment hivyo..
Watumishi sijui wachungaji wa Kilokole hawana tofauti na Waganga wa kienyeji..
Imeandikwa wana wa Giza wana hekima kuliko wana wa Nuru, hiyo haipingwi, style wanazotumia waganga wa kienyeji ndio hizihizo anatakiwa kutumia mtumishi wa Mungu kinyume , mganga akisema nimefungwa mtumishi wa Mungu anasema nimefunguliwa e.t.cKama tulikuwa na mawazo sawa. Hapo ndipo mawazo ya kucharanga mapanga huanzia