Imani = "Elimu ( Mapokeo+Fikra+Malengo+Maono) kwa ajili ya kutawala/kutengeneza/kuharibu Mazingira na vitu vilivyomo. Kuna Imani Potofu na Imani Endelevu." This is according to me!
Imani = "Elimu ( Mapokeo+Fikra+Malengo+Maono) kwa ajili ya kutawala/kutengeneza/kuharibu Mazingira na vitu vilivyomo. Kuna Imani Potofu na Imani Endelevu." This is according to me!
sor,mm kwangu iman unaweza kuiona kwa jins matumiz yake yalivyo,unaweka imani kwa vitu usivyojua kama vitatokea au lah simply ni mind mechanism ili uweze kusubir jambo lisilo na uhakika /QUOTE]
mkuu hapa katika imani huwa tunaangalia zaid vitu ambavyo havijathibiti kiwazi ila huthibiti kwa dalili zilizo wazi mfano unasema kuw amina ananipenda hapa unaweza kuwa sahihi kwa sababu kitu upendo kipo na hujiidhihirisha kwa dalili zake hapa nna maana ya matendo unajenga imani kuwa unapendwa
kwa watu wa dini pia huamini uwepo wa mungu kutokana na dalili ambazo wao wameziona na kujithibitishia kuwa hizo zote ni dalili za mungu
hii kaka nna m maana kuwa imani ni kitu ambacho kipo moyoni na ndio source ya nguvu ya mweanadam
katika kila uchao
leo hii kuna watu huamini kua science is every thing no god and there is no super natural power
kuna watu wanaamini god is every thing nothing come nothing every thing comes from god
na kuna watu huamini mizmu wenyewe huwaita mababu
kuna watu huamini nguvu ya miili yao ndio kila kitu
imani ndio chanzo ha furaha na ndio chanzo ha machafuko
we fikiria pale unapoamini kuwa unapendwa au unapokosa imani juu ya mpenz wako nini hutokea imani ipo ndani hya moyo