Jamaa anajua anachofanya mm na amini hloHawataki ukiangala kwa makini wanaolalamika humu ni hao hao waliokuwa wezi ,kuishi kwa mazoea ,rusha zabuni Za MAGUMASHI ,lazima waone maisha magumu
ccm ni ile ile tu ..mmekuja na matamko kibao yenye kuvutia lkn mwishowe ni utapeli tu ..(1) maisha bira kwa kila mtanzania ..lkn ikawa ni maisha bora kwa kila fisadi ..(2) Hali mpya kasi mpya na nguvu mpya ...lkn ikawa ni kasi na nguvu ktk kujinufaisha baadhi ya watawala ...(3) Hapa kazi tu ....lkn imegeuka na kuonyesha kuwa #Hapa hofu tu # ..2020 mtakuja na sasa ni zamu ya mkulima kufaidi uhuru wa kilimo ...lkn itakuwa ni kinyume chake kama ilivyozoeleka ....hakuna ..hakuna ..hakuna ..mwanaccm yyte anawazia kumpigania mtu wa chini ..kifupi ni hakunaMtume Paul moja kati ya wafuasi (disciple) wa Yesu kristo alisema.. Hata uwe na imani ya kuhamisha milima bila matendo ni kazi bure...
RAIS Paul KAGAME wa Rwanda..
Kipindi anaingia madarakani miaka mitatu ya awali alichukiwa sana na wananchi wanasiasa (SIASA UCHWALA) wahijumu uchumi wa nchi ya Rwanda..na RAIA wengi walimuita didkteta. lakina Raisi huyu alikuwa na IMANI na HUKU AKITENDA alicho kiamini, kitu ambacho kimeipelekea Rwanda Leo kuwa na 2% ya rushwa na ufusadi kupotea ktk nchi hyo.
RAIS JPM je, Ana imani na huku akitenda??
ukiangalia ni rais ambaye anaonyesha interest na KAGAME that's why alimutembelea alipo toka chato, hii kwangu ni taswila nzuri The might Pombe magufuli anafuata nyao za IMANI bila matendo ni bure.
IMANI yangu baada ya miaka minne hatuta kuwa tunakuja humu tuna ghiribu utawala wa magufuli
Maana viwanda vitakuwa badhi vimeanza kazi kama vya nyama na ngozi.
Reli ya kati itakuwa imekamilika na blueprint nyingine zitakuwa zinaendelea...
Huwezi kuwa na nchi ya maendeleo kama ukiachilia demokrasia holela huwezi ukapiga hatua itakuwa unapiga mark time.
#KUBALI The genius JPM
Hicho cheyo the might JPM nimemtunuku kwa aina ya nguvu ya kupambania hii nchi bila woga na kwa utashi wake...unajua ushauri mwingi utampoteza Mr. Presda bora HVO hvohttp://Hakika Imani Bila Matendo Ni Bure! mana hata wewe unamuamini kupitiliza hadi unamtunuku cheo cha u-MIGHT kama vile ni Mungu ilhali hatuoni matendo yoyote chanya
Sio kwa ngosha JPMccm ni ile ile tu ..mmekuja na matamko kibao yenye kuvutia lkn mwishowe ni utapeli tu ..(1) maisha bira kwa kila mtanzania ..lkn ikawa ni maisha bora kwa kila fisadi ..(2) Hali mpya kasi mpya na nguvu mpya ...lkn ikawa ni kasi na nguvu ktk kujinufaisha baadhi ya watawala ...(3) Hapa kazi tu ....lkn imegeuka na kuonyesha kuwa #Hapa hofu tu # ..2020 mtakuja na sasa ni zamu ya mkulima kufaidi uhuru wa kilimo ...lkn itakuwa ni kinyume chake kama ilivyozoeleka ....hakuna ..hakuna ..hakuna ..mwanaccm yyte anawazia kumpigania mtu wa chini ..kifupi ni hakuna
Kwn ngosha sio mwana ccm..weevep bhana ...Sio kwa ngosha JPM
Kama unaamini hvo sio mwana ccm means to say ni kwa ajili ya watanzani ndo maana anasema tumuombee hayupo kwa ajili ya ccm wala cdm wala cuf ni zawadi yawa tz. Kwa minajili hyo basi ndie chosen one wa maendeleo ya watz kwa hl taifa..Kwn ngosha sio mwana ccm..weevep bhana ...
sio kweli kabsa ...leo hii sukar imekuwa inshu ..lugumi imeota mbawa ...alafu bado tuendelee kuamini ...hapanaKama unaamini hvo sio mwana ccm means to say ni kwa ajili ya watanzani ndo maana anasema tumuombee hayupo kwa ajili ya ccm wala cdm wala cuf ni zawadi yawa tz. Kwa minajili hyo basi ndie chosen one wa maendeleo ya watz kwa hl taifa..
Think out of the box...The system was corrupted he is in need to amend the way...lkn tatzo watu wengi hawataki changes na wengine wapo ktk transition ya kubadilika lkn elewa KTU. Wengi vbaraka wa ubeberu na ubepari wa nataka kumkwamisha mh. Rais lkn elewa mm sio pro ccm au chadema I used to hate ccm once upon the time but I'm not sure in the position of trusting ccm again ila namwamini MTU ndan ya ccm n JPMsio kweli kabsa ...leo hii sukar imekuwa inshu ..lugumi imeota mbawa ...alafu bado tuendelee kuamini ...hapana
Mtu yyte aliyeko ndani ya ccm sina imani naye ..hata kama ni malaika ata change tu mbele ya safarThink out of the box...The system was corrupted he is in need to amend the way...lkn tatzo watu wengi hawataki changes na wengine wapo ktk transition ya kubadilika lkn elewa KTU. Wengi vbaraka wa ubeberu na ubepari wa nataka kumkwamisha mh. Rais lkn elewa mm sio pro ccm au chadema I used to hate ccm once upon the time but I'm not sure in the position of trusting ccm again ila namwamini MTU ndan ya ccm n JPM
magubike ni muoga m'babe hana msimamo na hajui anasimamia nini hasa, nilimtetea sana mwanzo ila sasa namuona mkandamizi tuHicho cheyo the might JPM nimemtunuku kwa aina ya nguvu ya kupambania hii nchi bila woga na kwa utashi wake...unajua ushauri mwingi utampoteza Mr. Presda bora HVO hvohttp://
Tanzania ni kubwa kuliko Rwanda lkn kuna resources nyingi kuliko population through that concept kukitokea full utilization ya resources zetu Rwanda itakuwa mbaya kuliko tz...Ni sawa kama kweli anachokiamini ndicho... ila lazima tutathmini kuna nchi za Rwanda ngapi Tz?? Rwanda imewezekana maana nchi yenyewe ni ndogo sana. Kwetu iliwahitaji marais wasiozidi watatu. Ila kwakuwa ni imani ngoja tusubiri matendo.....
Mighty kwa kiswahili ni Hodari au shujaHakika Imani Bila Matendo Ni Bure! mana hata wewe unamuamini kupitiliza hadi unamtunuku cheo cha u-MIGHT kama vile ni Mungu ilhali hatuoni matendo yoyote chanya