Imamu afariki mikononi mwa polisi Arusha

Status
Not open for further replies.
Pigeni kazi mtoke kimaisha, acheni kupoteza muda.
Mnalumbana kwa dini mlizoletewa na wazungu/waarabu, si muanzishe zenu ndio mzipiganie??

Hamkumuona Yesu wala Mtume Mohammad, mmefanya kuwasoma tu kwenye vitabi, mna uhakika gani hayo maandishi yalikua sahihi yote?
 

Wamalize wewe wakristo kama unauwezo..haimanishi watu wakiwa wametulia ni waoga.ipo siku mtafika watu koo na wewe utakula vipanga ndio utawacha ujeuri. nimewasoma waislamu muda mrefu, munachukulia wakristo kuwa wajinga..dini yetu inafunza kusamea, kupendana na kutomwaga damu yenu nayo inafunza piga uwa, chinja na vituko vyote kwa wasio waislamu..civilisation has not reached islam
 

Kama padri kavunja sheria ni mchochezi nae pia auawe tu Poa maana wameacha kuhubili Dini akina Ilunga Hassan
 
Umemjibu vyema huyo punguani.
Wapumbavu Hawa,alipouliwa Mwangosi walipiga kelele mwaka mzima na kuomboleza kwasababu ni wa dini yao,na hakuna mwiislamu aliyeleta kashfa,lakini akifa muislamu wanafurahi.Nia yangu sio kufurahi kwa kifo cha Mwangosi,pia ninasikitika na naona huz uni,lakini nataka niwape funzo,wajisikie wanavyoumia wenye ndugu au jamaa yao,aliyefariki au kuuliwa.
 
Bila uislamu ungejuwa kuandika kiswahili,uislamu ndio ulioleta lugha ya kiswahili,hata neno swahili ni neno la kiislamu.Uislamu ndio uliokustrabisha.
 
Kupiga kazi gani kuwaibia watanzania kama wizi wa Escrow unajitia upofu hauoni Kanisa kupitia benki yake ya mkombozi wanavyofanya ufisadi, wewe umetoka kimaisha au unaleta drama.
 
Hao ni pro-Chadema walikuwa wanatokwa na mapovu humu JF hawa jamaa wanafiki sana.
 
The big issue here is,what you put your faith on could be misleading you to a pit and i cant see anyone about to fall in a pit thinking he/she is following the right path,i just have to tell him/her
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…