Imalaseko Supermarket inaungua?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,084
Kuna taarifa zinazosambaa kama moto wa kifuu kuwa Imalaseko Supermarket Pamba House imeshika moto... Wadau mliopo mjini tujuzeni..
 
Hapana ila kuna jamaa walitaka kununua Embassy Hotel lakini wakaikosa,kama ni kweli Pamba House imeungua... kuna mkono wao...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom