Mzungu hatishi bwana.mnazikumbuka zile story za majini?umelala na demu kitandani mkono wake unarefuka mpaka kwenye swichi ya taa.au unakutana na jamaa mreeeeeeeeefu unaona miguu tu au zile za kinondoni makaburini,unaopoa changu unaingia naye kwenye gari katikati ya safari anatoweka gafla