Imagine JF tunakutana ukumbini!

hahahahahahah lolNgoja nkamwite Lizzy dahhMie ntamtafuta mtu mwenye chaki mfukoni (Good Guy)swali lolote la ma Engineer anajibu( Good Guy)Physics, Maths inapanda mpaka kule ( Good Guy)hahahahahah lol
Hahahaha,now where did i put that calculator!xoxo denzi
 
Lizy nitamtambu kwa maneno ya shortcut,anapenda sn hizo aise!

Unanisingizia bwana!!!


Hahahahahha.... ila bado sijajua nani atakaemshushua mwenzie????
 
Hii imetulia sana sina shaka wewe ni mchaga wa marangu kama si vunjo.
 
mi nta mtambua blaki woman kwa kuvaa cheni mguu wake wa shoto
 
maralia sugu angechezea kichapo sana kutoka kwa wanaharakati

Hahahahahahah lol! halafu mnakuja kuambiwa jamani huyo siyo Malaria sugu, malaria sugu huyu hapa! mtu kishapata ngeu lol!
 
Mimi nikiona mtu ana kigugumizi nitajua ni bubu ataka kusema.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…