Utawezaje kumtambua mwenzio kwamba huyu ndo labda bujibuji, maralia sugu, dena amsi, hmaster nk bila ya kujitambulisha. Mi ntaangalia lafudhi zao tu, je wewe!:majani7:

sorry nntasikiliza lafudhi zao na si kuziangalia. Kwa mfano nikimsikia msichana au mwanamke kila mala anatumia neno bana badala ya bwana nitajua huyu ndo DA.

Mbaya zaidi unaweza kuju kutambua jina la mtu wako wa karibu alitumialo na kuona madhara ya post alizokuwa anatuma kukuponda. Itakuwa mbaya sana. Tafadhali naomba tusikutane.
sorry nntasikiliza lafudhi zao na si kuziangalia. Kwa mfano nikimsikia msichana au mwanamke kila mala anatumia neno bana badala ya bwana nitajua huyu ndo DA.
Mimi nitasikiliza hoja ni nitaweza kuwatambua Faizfoxy na Malaria sugu! hii inanikumbusha lile pambio la dini moja hivi "...... Nitamjua X2 nimuonapo uso kwa uso, nitamjuuua kwa alama....