Imagination juu ya masupastaa wa JF

Hahaha....sasa ningefanyaje wakati mwenyekiti alilipia ukumbi kwa masaa?....mkutano mwingine ni tarehe ngapi tena?...
Itategemea na upatikanaji wa wajumbe.... kipindi hiki cha mwisho wa mwaka wajumbe huwa hampatikani kirahisi:nerd:
 
Kweli kabisa, wengi tunakuwa tumehamia migombani kunywa mbege....ila kama utaninunulia gauni la x'mass nambie ntaitisha mkutano badala yako...
 
Unataka gauni tu? Basi ntakuwekea na nyongeza ya andawea..... niPM rangi unayoipenda manake kuna midume hapa khaa!
 
Lol....mie gauni tu ila kama utaniwekea na hiyo nyongeza ntashukuru.....

rangi chagua wewe afu hakikisha inaendana na mkutano wa mwisho wa mwaka..
 
Ombi lako linafanyiwa kazi.... au nikushonee suti kabisa>?
 
Lol.... Ndio mana I LOVE YOU kila, sekunde, kila dakika, na kila saa ipitayo kwenye maisha yangu... Watajiju wenye wivu wao!
 
Niliwahi kwenda mara moja, tatizo mwenyekiti alifika keshalewa hivyo mkutano ulivurugika kiasi flani...

Tatizo unakuja kwenye mikutano alfajiri wakati wengine tunajiandaa kwenda shamba......

Vikao jioni bana!

halafu.....

Hahaha....sasa ningefanyaje wakati mwenyekiti alilipia ukumbi kwa masaa?....mkutano mwingine ni tarehe ngapi tena?...

Aisee hommie ndo ulivotumwa na chama? kulipia ukumbi kwa masaa? hii imetudhalilisha sana tutake radhi....
 
Itategemea na upatikanaji wa wajumbe.... kipindi hiki cha mwisho wa mwaka wajumbe huwa hampatikani kirahisi:nerd:
:lol:

Kweli kabisa, wengi tunakuwa tumehamia migombani kunywa mbege....ila kama utaninunulia gauni la x'mass nambie ntaitisha mkutano badala yako...

hapa kuna harufu ya rushwa...lazima...
 
lol....hivi kumbe chama kilimpa ODM pesa za kulipia ukumbi siku nzima eeh?...amevunja sheria hivyo itabidi kumshtaki kufuatana na kifungu cha 12 cha katiba ya chama.....

Kaizer siku ingine ODM akiandaa mkutano ntaomba uje ulipie ukumbi mwenyewe afu unikabidhi risiti nikae nayo..
:lol:

hapa kuna harufu ya rushwa...lazima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…