Umenena vyema mtu mzimaIla inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshoma zote za kike.
Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....
Laah wanawake wazuri na mabo wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake bayana wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.
Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....
Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
Kasie nimekupenda bureee maana madini uliyoyatema ni ya hatari sana na wenye macho acha waone na wajifunze kituIla inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.
Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....
Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.
Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....
Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
Amein Mzaz umeongea kwa busara na hekima sana.... Vip nafasi ipo jaman niwe nazipta busara za namna hiiSisi si ni wazazi na kama bado hujawa mzazi utakuwa mzazi.
Hakuna mzazi anapenda kuona mwanae anaharibikiwa, anachezewa, anazalishwa na kuachwa!
Tufikirie maisha ya watoto wetu huko baadae, Je tunapenda yaje kuwa kama ambavyo tunawafanyia watoto wa wenzetu?! Jibu unalo..
Tusali sana, tujiombee kwenye safari hii ndefu ya maisha. Lakini kubwa sana tuwaombee watoto wetu, binti wanaokuwa na vijana pia.
Nafasi imejaa mkuu!Amein Mzaz umeongea kwa busara na hekima sana.... Vip nafasi ipo jaman niwe nazipta busara za namna hii
Amen.[emoji120][emoji120]Sisi si ni wazazi na kama bado hujawa mzazi utakuwa mzazi.
Hakuna mzazi anapenda kuona mwanae anaharibikiwa, anachezewa, anazalishwa na kuachwa!
Tufikirie maisha ya watoto wetu huko baadae, Je tunapenda yaje kuwa kama ambavyo tunawafanyia watoto wa wenzetu?! Jibu unalo..
Tusali sana, tujiombee kwenye safari hii ndefu ya maisha. Lakini kubwa sana tuwaombee watoto wetu, binti wanaokuwa na vijana pia.
Daah too bad, But its okey best of lucky kwa lucky one.Nafasi imejaa mkuu!
Umenena vizuri mkuu ila kwangu mimi yalionitokea mhhh sijui.... apo nyuma niliwai kupata mwanamke mzuri kwa mtazamo wangu alibarikiwa kila kitu ambacho kwangu niliona safi hadi hekima ,akili,uzuri wakilakitu aiseee ailikuwa toto la kizigua sema mambo yali happen so fast sielewi tabia alibadilikia wapi ila naona aliftwa sana mwisho wa siku tulikuwa tukiargue kidogo anaanza nitishia kwamba nadhani kwamba hawezi pata mwanaume mwingine au akiamua hivyo atakosa ? Kiufupi hayo maneno ndo yalianza nikera ukiachana na vitu vingine vidogo ambavyo mwisho wa siku tuliachana nadhani viko vitu vingi vinavyowaaribu hao wazuri kuliko vinavyowajenga aiseeeIla inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.
Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....
Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.
Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....
Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
Hawa wadada wazuri wanamaringo sana wengi waoUmenena vizuri mkuu ila kwangu mimi yalionitokea mhhh sijui.... apo nyuma niliwai kupata mwanamke mzuri kwa mtazamo wangu alibarikiwa kila kitu ambacho kwangu niliona safi hadi hekima ,akili,uzuri wakilakitu aiseee ailikuwa toto la kizigua sema mambo yali happen so fast sielewi tabia alibadilikia wapi ila naona aliftwa sana mwisho wa siku tulikuwa tukiargue kidogo anaanza nitishia kwamba nadhani kwamba hawezi pata mwanaume mwingine au akiamua hivyo atakosa ? Kiufupi hayo maneno ndo yalianza nikera ukiachana na vitu vingine vidogo ambavyo mwisho wa siku tuliachana nadhani viko vitu vingi vinavyowaaribu hao wazuri kuliko vinavyowajenga aiseee
Umenena vizuri mkuu ila kwangu mimi yalionitokea mhhh sijui.... apo nyuma niliwai kupata mwanamke mzuri kwa mtazamo wangu alibarikiwa kila kitu ambacho kwangu niliona safi hadi hekima ,akili,uzuri wakilakitu aiseee ailikuwa toto la kizigua sema mambo yali happen so fast sielewi tabia alibadilikia wapi ila naona aliftwa sana mwisho wa siku tulikuwa tukiargue kidogo anaanza nitishia kwamba nadhani kwamba hawezi pata mwanaume mwingine au akiamua hivyo atakosa ? Kiufupi hayo maneno ndo yalianza nikera ukiachana na vitu vingine vidogo ambavyo mwisho wa siku tuliachana nadhani viko vitu vingi vinavyowaaribu hao wazuri kuliko vinavyowajenga aiseee
Dooh!!!nimejikuta naona huruma sanaa.Hii nistatement ya mtu anae kuhitaji sana na bila shaka hata kama alikosea, kwa statement anaonyesha kamaliza manenonyoote ya kukuomba msamaha trna kwa kumaanisha.Please Samwel huko uliko think twise, never let her go cz." Samwel am too old to be dumped, kwanini unanifanyia hivi? "