Mimi ndiyo napenda warembo kama wewe, nitakutafuta. Hint: Nafanana sana na Salim Kikeke
Mleta uzi kanielewa Boss ngoja ajeKwani Salim Kikeke ndo 'Brad Pit' wa Tanzania?
Ofcourse kazi za nyumbani sio kazi za mwanamke. Ni basi tu....
ndo upate mume akuanzishie thread "mke wangu anafanya kazi lakini kamuachia majukumu yote housegirl"nimekupata mkuu....kulea kazi pia as watoto wako demanding..ni kuelewana tu km ukipata mwenzio ambaye mnaendana,mbona si tatizo..mnafanya kazi pamoja...................
Si mpaka uwe na maisha hayo ya microwave.......Wanawake wa siku hizi mna uvivu hadi basi
kufua kuna mashine siku hizi
kupasha moto chakula kuna microwave
kuosha vyombo kuna mashine pia na housegirls..
kupika ni gesi au umeme
kupiga deki hamuinami mnatumia mop
lakini mna complain kuliko mama zenu ambao wao hata kupasha chakula walilazimika
kuwasha moto upya achilia mbali kutwanga mahindi kwa kinu
ingekuwa vizuri kama unafanyaga hizi kazi...lakini kama umezoea toka utoto we ni kidume cha kiafrika hugusi dekio samahani sana acha kuongelea.Wanawake wa siku hizi mna uvivu hadi basi
kufua kuna mashine siku hizi
kupasha moto chakula kuna microwave
kuosha vyombo kuna mashine pia na housegirls..
kupika ni gesi au umeme
kupiga deki hamuinami mnatumia mop
lakini mna complain kuliko mama zenu ambao wao hata kupasha chakula walilazimika
kuwasha moto upya achilia mbali kutwanga mahindi kwa kinu
Si mpaka uwe na maisha hayo ya microwave.......
Ila kazi za nyumbani ni kusaidiana. Na zaidi kama mmejaaliwa kipato ni vyema mkaajiri mtu msiwe wachoyo kiasi hicho. Maisha kugawana jamani..... Hire maids to help with home chores while you chase paper in real world. Mambo ya housewife yamepitwa na wakati long time kitambo.
Kabisa.ahahahaha... do the needful.
Unadeserve kuwa mchepuko tu wanawake wa type yako ni Hatari kwa afya ya ndoando upate mume akuanzishie thread "mke wangu anafanya kazi lakini kamuachia majukumu yote housegirl"
"housegirl katukimbia . mke wangu kadiriki kunitolea nguo nifue"
naona nitapaki virago vyangu fasta.
huo utraditional motherhood siuwezi.
Mleta uzi kanielewa Boss ngoja aje