Ms eyes JF-Expert Member Joined Feb 4, 2023 Posts 4,773 Reaction score 11,976 Jul 20, 2023 #101 Half american said: tatizo moyo na wengi tunajifunza kwa majuto na maumivu Click to expand... Moyo huwa unasahau maumivu yote 😢
Half american said: tatizo moyo na wengi tunajifunza kwa majuto na maumivu Click to expand... Moyo huwa unasahau maumivu yote 😢
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Jul 20, 2023 #102 Half american said: tatizo moyo na wengi tunajifunza kwa majuto na maumivu Click to expand... Tunakomaa humo humo tu
Half american said: tatizo moyo na wengi tunajifunza kwa majuto na maumivu Click to expand... Tunakomaa humo humo tu
Mkanaani JF-Expert Member Joined Jul 31, 2021 Posts 211 Reaction score 633 Jul 20, 2023 #103 Good afternoon, FlyingDutchman si asubuh hujasalimiwa.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 20, 2023 #104 Darlin said: Unakuta kampenda mtoto wa Temeke mbona ataandika kinglesa mpaka akome. Click to expand... Kiingereza atakiandika sana Hawa watoto wa mabus ya njano hawana exposure na mambo ya uswahilini Ngoja apasuliwe kichwa kwa stress na huyo kivuruge
Darlin said: Unakuta kampenda mtoto wa Temeke mbona ataandika kinglesa mpaka akome. Click to expand... Kiingereza atakiandika sana Hawa watoto wa mabus ya njano hawana exposure na mambo ya uswahilini Ngoja apasuliwe kichwa kwa stress na huyo kivuruge
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,591 Reaction score 119,708 Jul 20, 2023 #105 Usisumbuliwe na mtu asiyekupa thamani yako. First ignore her, see her reaction... Then walk away... Kwani wewe huoni kwamba ana mwamba mwingine huko?
Usisumbuliwe na mtu asiyekupa thamani yako. First ignore her, see her reaction... Then walk away... Kwani wewe huoni kwamba ana mwamba mwingine huko?
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,082 Jul 20, 2023 #106 Ms eyes said: sex sio kipaumbele Click to expand... chai hii imenipalia😂 kwahiyo msiponanilii mahusiano hayatovunjika??
Ms eyes said: sex sio kipaumbele Click to expand... chai hii imenipalia😂 kwahiyo msiponanilii mahusiano hayatovunjika??
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Jul 20, 2023 #107 Mkanaani said: Good afternoon, FlyingDutchman si asubuh hujasalimiwa. Click to expand... Mie nimemsalimia ya asbh we mchana akijitokeza wa jioni walau tunamtoa kwenye mawazo mabaya, tubarikiwe sana
Mkanaani said: Good afternoon, FlyingDutchman si asubuh hujasalimiwa. Click to expand... Mie nimemsalimia ya asbh we mchana akijitokeza wa jioni walau tunamtoa kwenye mawazo mabaya, tubarikiwe sana
Ms eyes JF-Expert Member Joined Feb 4, 2023 Posts 4,773 Reaction score 11,976 Jul 20, 2023 #108 mshamba_hachekwi said: chai hii imenipalia😂 kwahiyo msiponanilii mahusiano hayatovunjika?? Click to expand... Ukiwa kwenye mahusiano utafanya, lakini kama huna mahusiano huwezi kufikiria sex wewe unataka nianze kuwa kama Dronedrake?😂🚮
mshamba_hachekwi said: chai hii imenipalia😂 kwahiyo msiponanilii mahusiano hayatovunjika?? Click to expand... Ukiwa kwenye mahusiano utafanya, lakini kama huna mahusiano huwezi kufikiria sex wewe unataka nianze kuwa kama Dronedrake?😂🚮
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 19,862 Reaction score 42,063 Jul 20, 2023 #109 Mpaka sasa ubao unasoma Mabinti wa kisasa 3-0 Vijana wa bongoflavour.
Darlin JF-Expert Member Joined Aug 9, 2020 Posts 4,815 Reaction score 10,703 Jul 20, 2023 #110 Kapeace said: Mwanaume wa kulia mie hapana simtaki anionee huruma ila sio kutoa machozi yale mengi tena mbele yangu namshusha vyeo vyote Click to expand... 😆😆😆 Wacha waje kumfundisha bro codes apate madini kdogo kitaa kisimsumbue
Kapeace said: Mwanaume wa kulia mie hapana simtaki anionee huruma ila sio kutoa machozi yale mengi tena mbele yangu namshusha vyeo vyote Click to expand... 😆😆😆 Wacha waje kumfundisha bro codes apate madini kdogo kitaa kisimsumbue
Darlin JF-Expert Member Joined Aug 9, 2020 Posts 4,815 Reaction score 10,703 Jul 20, 2023 #111 Kapeace said: Mie nimemsalimia ya asbh we mchana akijitokeza wa jioni walau tunamtoa kwenye mawazo mabaya, tubarikiwe sana Click to expand... Me zamu yangu usiku Hapa naandaa paragraph ndefu Hatuwez ruhusu kijana wetu ateseke
Kapeace said: Mie nimemsalimia ya asbh we mchana akijitokeza wa jioni walau tunamtoa kwenye mawazo mabaya, tubarikiwe sana Click to expand... Me zamu yangu usiku Hapa naandaa paragraph ndefu Hatuwez ruhusu kijana wetu ateseke
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,591 Reaction score 119,708 Jul 20, 2023 #112 Ms eyes said: Wengine kama sisi, sex sio kipaumbele Click to expand... Naomba nishushwe kituo kinachofuata🤣
Ms eyes said: Wengine kama sisi, sex sio kipaumbele Click to expand... Naomba nishushwe kituo kinachofuata🤣
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Jul 20, 2023 #113 Darlin said: 😆😆😆 Wacha waje kumfundisha bro codes apate madini kdogo kitaa kisimsumbue Click to expand... Atakuwa anatusoma
Darlin said: 😆😆😆 Wacha waje kumfundisha bro codes apate madini kdogo kitaa kisimsumbue Click to expand... Atakuwa anatusoma
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,340 Reaction score 56,039 Jul 20, 2023 #114 Tatizo mnapenda vitoto (below 30)
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Jul 20, 2023 #115 Darlin said: Me zamu yangu usiku Hapa naandaa paragraph ndefu Hatuwez ruhusu kijana wetu ateseke Click to expand... Aaah imeisha hiyo,, 😍 salamu sio kitu cha kumtesa hivi kijana wetu
Darlin said: Me zamu yangu usiku Hapa naandaa paragraph ndefu Hatuwez ruhusu kijana wetu ateseke Click to expand... Aaah imeisha hiyo,, 😍 salamu sio kitu cha kumtesa hivi kijana wetu
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,591 Reaction score 119,708 Jul 20, 2023 #116 Equation x said: Tatizo mnapenda vitoto (below 30) Click to expand... Huenda na yeye ni kijana mdogo, ila 30+ ina ahueni sana...
Equation x said: Tatizo mnapenda vitoto (below 30) Click to expand... Huenda na yeye ni kijana mdogo, ila 30+ ina ahueni sana...
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Jul 20, 2023 #117 Darlin said: Embu tafuta wa kwako bana😒 We hujihisi vibaya unavyovunja bro codes Click to expand... 🤣🤣wangu ndio huyo afanye kutafuta wake.
Darlin said: Embu tafuta wa kwako bana😒 We hujihisi vibaya unavyovunja bro codes Click to expand... 🤣🤣wangu ndio huyo afanye kutafuta wake.
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,082 Jul 20, 2023 #118 Ms eyes said: Ukiwa kwenye mahusiano utafanya Click to expand... tunarudi pale pale..... ke na me mjifungie chumba kimoja msidinyane??😂 hapana aisee
Ms eyes said: Ukiwa kwenye mahusiano utafanya Click to expand... tunarudi pale pale..... ke na me mjifungie chumba kimoja msidinyane??😂 hapana aisee
Darlin JF-Expert Member Joined Aug 9, 2020 Posts 4,815 Reaction score 10,703 Jul 20, 2023 #119 Saint Anne said: Kiingereza atakiandika sana Hawa watoto wa mabus ya njano hawana exposure na mambo ya uswahilini Ngoja apasuliwe kichwa kwa stress na huyo kivuruge Click to expand... 😆😆😆😆 Hapo unakuta mhuni anamtext oyaaa shuka getto hapa, mdada wa watu huyooo ashaenda😂muda wa kusoma message za kinglesa atatoa wapi
Saint Anne said: Kiingereza atakiandika sana Hawa watoto wa mabus ya njano hawana exposure na mambo ya uswahilini Ngoja apasuliwe kichwa kwa stress na huyo kivuruge Click to expand... 😆😆😆😆 Hapo unakuta mhuni anamtext oyaaa shuka getto hapa, mdada wa watu huyooo ashaenda😂muda wa kusoma message za kinglesa atatoa wapi
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Jul 20, 2023 #120 Kapeace said: Tunakomaa humo humo tu Click to expand... hakuna namna ndio maisha ya mapenzi yalivyo