I'm still waiting for her message ๐Ÿ˜”

I think mpaka tukifikia that stage she doesn't worth it anymore ,I'll let her go for good.
 
Therapist wangu

Sio kwa haya madini unayomwaga hapa
yalishanikuta ndio maana nna madini mengi kwa niliyoya experience ๐Ÿ˜…
Aliyoyaeleza hapo na kinachoendelea kwangu kwa sasa inabidi tu nimpe pole maana kuna mtoto wa mtu nimemteka na anadai anae mpenz(namhurumia huyo mwamba maana 85% ya muda anaspend kwangu). Tusipokuwa pamoja simu zinaita sana ubusy mwingi. Rahaaaaaaaaa ๐Ÿฅฐ
 
You sound childish, right from your writing style... Mtu wa late 20's hawezi risk ku-date na mtoto, mwenzio anatafuta ndoa siyo mitoko...
Kama hutaelewa na hii basi hutaelewa kabisa..
 
Khaaaaaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kumbe wewe na jamaa wote mko kwenye meli moja. We jiweke hapo ila usishangae umekaa huna hili wala like unashangaa binti kapost status ameolewa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.
Jimwage mwage mwaya, tomorrow isnโ€™t promised.
 
Khaaaaaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kumbe wewe na jamaa wote mko kwenye meli moja. We jiweke hapo ila usishangae umekaa huna hili wala like unashangaa binti kapost status ameolewa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.
Jimwage mwage mwaya, tomorrow isnโ€™t promised.
mi siwazi nakaa kwa password akizingua naendelea na maisha yangu.
 
Uko mwenyewe kwenye hilo penzi sasa na hiki kingereza ndo kabisa unajibebisha nacho peke yako๐Ÿ˜‚ mpuuzie tu hakustahili, hana nidhamu na wewe,
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kudate na watu kama hawa raha kweli, ukiamka unakuta zile message za youโ€™re my happiness sijui nini nini huko, message aya sita afu ndio good morning my love๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ