I'm Planning to Meet lara 1


Don't think if i need to work harder here, but cleverly!
 
mimi naona kama hii picha inaendana na haya matendo ya kwenye keyboard mkuu,
..anaonekana mtata ukimcheki kwa upande upande...hebu cheki mwenyewe...
Ni kweli mkuu, natamani kabla hawajakutana na simplicity, nimualike mimi kwanza maana natamani sana nimuone huyo kubwa la maadui, ila sina uhakika kama utakubali kuja kula mihogo ya huku shamba, maana kwenye hiyo picha inaonekana hata ugali ni mara 1 kwa mwezi sasa bajeti yangu ndogo ngoja niendelee kula kwa macho
 
kwa lengo la usalama, tutahitaji shushushu kutoka jf kwa zoezi hili....
 
Duu!noon time ndo kusema mchana au kitu gani hiki jamani! siku zingine uwe unauliza au uwe unaPM hata BAK hana hiana yule atakuelekeza na wimbo juu!
 
Hivi hiyo kwenye avatar yake sio yake?!?
ILE NI PICHA YA AMBER ROSE mwanamitindo wa U.S MKE WA WIZ KHALIFA na si muda mrefu mwanadada huyo alijifungua baby BOY!....Ila sasa kwa haraka haraka huenda LARA1 na AMBER watakuwa wanaendana mana naye Amber ni sampuli YA lara1 cHEZEA!
 

Uniqueness and speciality nitakuonyesha wewe tu lara 1, special surprise!
 
lol...
He who hath done, hath done,
the future holds no miracles..and nothing is too new to an old eye.
Behold ALL is vanity, all of it!! said King Solomon.

Did you just give him such an easy YES?!?

Hahahaaa. Mkuu acha hizo, usitake lara 1 aanze kuwa mgumu bila sababu!
 
wakuu mnaniangusha....kwenye avatar yake ni AMBER-ROSE ex-gf wa Kanye West......mtamuweza mtoto wa mjini kama mambo ya mjini hamyajui......

That's is an impression i got, the subject of this topic.
 
Breakfast inanihusu sasa hivi, I'll be back later.
 

Why are you so defensive lara 1? C'mon take it easy, this guy ain't gonna bite u. Okay?
 
Last edited by a moderator:
Shemeji yenu huyu, hebu mwacheni mysweetheart Lara 1. Lara 1 wathibitishie juu yalo..!
 
halafu uje kumuanzishia thread.
lara 1 keshakujua mtu wa aina gani leo baada ya thread yako faceless huyo mdada yupo smart wewe ni kilaza.
Sijui mtaongea nini

AMU, ulikuwa akilini mwangu,nilitaka kumuuliaa hivyo!
Maana ss tutaogopa kuonana na watu hum coz tutaanzishiwa uzi hum,halafu yakawa yaleyale ya SAKAPAL...baada ya kufahamiana mawasiliano yakakata
 
Last edited by a moderator:
following...

Hii mechi ishaisha, ni 4 kwa 0 hii. Mchokoza mada hawezi rudi maana kishatolewa nock out siku nyingi sana, tena TKO. Angeanza Kiswahili kuliko kuazima kiingereza na aliyemuazima kalala hataki kuamka kumjibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…