Karibu sana miss kitongoji... tutajie taarafa, kata, mji/kijiji na mkoa unaotoka..! mimi napatikana jiji la bashite kitongoji cha daudi, kata ya zungusha mtaa unaitwa fa fafa fa fa karibu sana
Naitwa Castr, nakupa jina la Mkuu usishangae mtu akikuita mkuu. Ila zingatia;
1. Usilete jukwaani mazungumzo uliyofanya na mtu pm.
2. Usitukane, kukashifu wala kumuita majina fyongo member mwenzio.
3. Usiandike kama upo fb.
4. Tukutane jukwaa la Love connect.
5. Nitumie picha yako pm.