Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Ukimpata ukamtoe awe zawadi ya birthday yako! All the best!Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje.Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy uumbaji wa Muumba
ni mwanamke strong sana na mimi hawa ndio ninao wataka...so simple to be with herFF huyu huyu tunayemjua?
Kazi unayo mkuu
FF......... mtoto mbichi kabisa huyui hope haumaanishi faizafoxy....!
kabibi kweli hako kamama
Nakukumbusha tu... Usijitafutie ban kizembe hivi!!Tumia tasfida kama mleta madai hope haumaanishi faizafoxy....!kabibi kweli hako kamama
Mambo ya kikoba unayaweza weye?Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje.
Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy uumbaji wa Muumba
Tayari keshakufa na kuoza kwa FF, subiri second chance!!Sa jamani Ivuga mie mbona nimekufa nimeoza juu yakoo!! :typing:
hhahahahhahTahadhari siku mkipanga kuonana live hakikisha unakuwa wakwanza kufika mlipopanga kuonana kisha unajificha iliumuone kwanza.
Nahakika utatoka mbio bila hata kumsabahi maana post zake tu zinaonyesha ni mwanamke fulani hivi mkavu, hana mvuto na kajikatia tamaa na kuolewa na maisha, kitu pekee kinacho.mfariji ni ubishi tu
mkuu safari ni kesho usiku...leo nimelala buguruni karibu na uwanja wa ndege kabisa sitaki ujinga wa mambo ya foleni..2moro asubuhiiii nipo JK Nyerere nangojea kwenda kutoboa mawingu na pipe la chumaNenda kwenye ile thread ya Gaga-17yrs FF kadai mwezi huu anatimiza 30 kwenye ndoa sasa hapo utajuwa kusuka au kunyoa.
NB: Safari si kesho ? sasa kama unapanda KLM ukiambiwa uende 08.07.2011 ujuwe safari ni alhamisi kwakuwa ndege zao huondoka just after midnight,miaka ya nyuma niliwahi kosea,kila la heri uende kusoma totoz za kizungu achana nazo.
mkuu hapa umenena...kila la kheri msimbaziItapendeza kama makubaliano yakafanyika rasmi hapa JF, siku ya J2, tukikabiziwa kombe la KAGAME