"I'm going to my mother"

Masuala mengine yanaendana na lugha na tamaduni pia

Kwa Kiswahili mwanamke angesema "ninakwena kwetu" sio "ninakwenda kwa mama"

Hivyo jibu hilo lisingemhusu
 
Masuala mengine yanaendana na lugha na tamaduni pia

Kwa Kiswahili mwanamke angesema "ninakwena kwetu" sio "ninakwenda kwa mama"

Hivyo jibu hilo lisingemhusu
na mwanamme hana kwao?
 
Na watoto kwao ni kwa mama yao?

Kwa mila za kiafrika kwenu ni kwa baba yako.

Kwa hiyo mwanamme angesema na yeye anaenda kwao na watoto wende kwao maana yake watoto angeondoka nao yeye mwanamme

umejibu sahihi
 
Na watoto kwao ni kwa mama yao?

Kwa mila za kiafrika kwenu ni kwa baba yako.

Kwa hiyo mwanamme angesema na yeye anaenda kwao na watoto wende kwao maana yake watoto angeondoka nao yeye mwanamme
Let say baba na mama wanakaa nyumba tofauti, mtoto wa kike utaenda kwa baba au mama??
 
Let say baba na mama wanakaa nyumba tofauti, mtoto wa kike utaenda kwa baba au mama??

Kaka, mwanamke akirudi kwao kwa kutengana/kukorofishana na mumewe, kwa mila za Kiafrika lazima ende akaripoti kwa baba

Mfumodume ndio athari zake hizo, lakini ndio hali halisi kwa nchi zetu za Afrika
 
Karucee. Hapo kwenye "hapo" umekosea kila unapoanza sentensi mpya inabidi uanze na herufi kubwa.
lol Tata, hapo kwenye "umekosea" ilibidi uweke fullstop. Halafu unieleze kosa langu:lalala:
 
Last edited by a moderator:
lol Tata, hapo kwenye "umekosea" ilibidi uweke fullstop. Halafu unieleze kosa langu:lalala:

Karucee, hapo kwenye "fullstop" na kwenye "kosa langu" kabla ya kibonzo cha la la la umekosea. Ilibidi badala ya "fullstop" uandike "kituo" na pia ilibidi uweke kituo kabla ya kibonzo. lol.
 
Ha ha ha! I see umenifanya nicheke sana! jamaa kiboko ya matatizo
 
safiii....hapa wife lazima aliwaz fasta akaona no way....
kuna haja ya kuahirisha safari ya kwa bi mkubwa...........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…