MmmhJust a remimder.
Women have biological clock while
Men have financial clock.
Aisee kwani mwisho wa kusoma ni mpaka wapi?Miaka 23 unakimbilia kuolewa? Ww si ulitakiwa uwe darasani mda huu? Jamani ccm imeharibu vijana wetu wengi sana...... Mungu walaani ccm na vizazi vyao vyote
Itakuwa mzanzibarHuyo aliyeleta posa huna hata mahusiano nae?! Hivi bado kuna vijana mnapeleka posa hata huyo msichana hujaongea nae [emoji23][emoji23]
Yeye ana miaka 23 ana kimbilia kuolewa... mwambie kua wewe uli olewa na miaka 42Mimi nakushauri baada ya ushauri wote utakaopewa hapa, mwisho angalia moyo wako unataka nini!
Kuolewa na mtu kwa sababu ametaka kukuoa siyo suluhisho, jee moyo wako upo tayari kuolewa naye?
Au kwa sababu ana nia ya kukuoa?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Dada usifuate hisia zako tumia akili yako olewa huyo anakupotezea muda na usisubutu kumzalia anaonesha ana haja ya mtoto lakini si mke unajua tena kuitwa baba watu wanaona fashionSalaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,
Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.
NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilitaka kusema hili pia,huu utaratibu wa kizamani hivi bado upo kweli?Huyo aliyeleta posa huna hata mahusiano nae?! Hivi bado kuna vijana mnapeleka posa hata huyo msichana hujaongea nae [emoji23][emoji23]
Miaka 23 mpaka 25, 26 ndo mda wamadoido na maringo!!! akiendelea kuwa selective kuna mda utafikia ataanza kujisemea yeyote atayekuja sawa kikubwa maisha!!!Mimi nakushauri baada ya ushauri wote utakaopewa hapa, mwisho angalia moyo wako unataka nini!
Kuolewa na mtu kwa sababu ametaka kukuoa siyo suluhisho, jee moyo wako upo tayari kuolewa naye?
Au kwa sababu ana nia ya kukuoa?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Salaam wakuu, moja kwa moja kwenye mada, naomba msaada wa kimawazo juu ya hili nalopitia wana jamvi wenzangu. Mm ni msichana miaka 23, nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa, (Boyfriend & Girlfriend, kwa maana kwamba sio mahusiano rasmi). Kiukweli nampenda sana huyu mkaka, ananipenda pia anavosema. Lakini tatizo linakuja kwenye Commitment. Mwenzangu anatamani mtoto kabla ya ndoa na mm nataka tupite njia za halali Nusra (Ndoa) kwanza ndo mengine yafuate. Wamekuja vijana watatu kwetu kuniposa sikuwakubalia nikiamini ninae wangu ambae ndo yeye, habari hizo anazijua lakini bado hakutilia maanani,
Sababu ya kutaka ushauri ni kwamba amejitokeza kijana mwingine mwenye nia ya kunioa, nilivompa taarifa kwamba nmeamua nakubali kuolewa kwasabb ya yeye kutonionesha ushirikiano, ananilaumu kwamba nimechukua maamuzi kwaharaka kwanini nisimvumilie. Kiukweli I'm confused, naomba ushauri nimkatae na huyu ili niendelee kumsubiria Boyfriend au ni Move on? Karibuni.
NB: New ID for a Reason. Please don't doubt.
Sent using Jamii Forums mobile app