hapa unasema ukweli.kama unalikaa basi kaa tayari ka kugharamia usafiriNakuja huko private ila utalipia usafiri
Mwee eti nilidhani aje mjirushe kwenye private jet. Akili zangu za usiku
Aah me nilitaka niombe tu kuwapiga picha yeye na mwenzie kunako jetTeh..
Ungechangamka if ingekuwa just as u have imagine?
Aah me nilitaka niombe tu kuwapiga picha yeye na mwenzie kunako jet
Hahaha moyo wako uwe na amani tuOh...
Sawa my dada, maana nlistuka kidogo nkapata hofu gafulaa.
Gdmoni'ng