ni zaidi ya mwaka na nusu sijaingia humu ndani! I'm back miss u! Wapya na wazamani wote me ndo nakaa jamvini hvo! Sogeeni nami nijinafasi pamoja nanyi!

shule na maisha yaliniweka mbali na huu uwanja wa all social network now majukumu ya kitabu yameisha kias so nimerudi for real@ katavi! Niliwamisije@all