KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Feb 28, 2013 #1 Habari wapendwa wa CC! Baada kimya kichache nimerudi tena kwenye uwanja huu maridhawa! Niliwamisi mno!
Habari wapendwa wa CC! Baada kimya kichache nimerudi tena kwenye uwanja huu maridhawa! Niliwamisi mno!
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Feb 28, 2013 #2 Ulikuwa wapi?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,632 Feb 28, 2013 #3 KARIA said: Habari wapendwa wa CC! Baada kimya kichache nimerudi tena kwenye uwanja huu maridhawa! Niliwamisi mno! Click to expand... Karibu mzee wa wazo la leo....
KARIA said: Habari wapendwa wa CC! Baada kimya kichache nimerudi tena kwenye uwanja huu maridhawa! Niliwamisi mno! Click to expand... Karibu mzee wa wazo la leo....
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Feb 28, 2013 #4 Karibu KARIA .... Uliondoka lini kwani? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Feb 28, 2013 #5 Umetoka kwa rimuvu-oda au? Nway kribu tena!
YNNAH JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,706 Reaction score 974 Feb 28, 2013 #6 Ulikwenda wapikwani KARIA? haya karibu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Feb 28, 2013 Thread starter #7 Bishanga said: Ulikuwa wapi? Click to expand... Walinificha kulee................! Hta sikujui jina ila kuna miti mingi mingi! halafu na hewa mororoo!
Bishanga said: Ulikuwa wapi? Click to expand... Walinificha kulee................! Hta sikujui jina ila kuna miti mingi mingi! halafu na hewa mororoo!
KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Feb 28, 2013 Thread starter #8 Bishanga YNNAH Judgement Donn, watu8! Hivi babu yangu Asprin yupo na bibi yangu casico au kweshney? na Madame B Yupo kweli? na wale kina nanihiii nao wapo wote? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bishanga YNNAH Judgement Donn, watu8! Hivi babu yangu Asprin yupo na bibi yangu casico au kweshney? na Madame B Yupo kweli? na wale kina nanihiii nao wapo wote?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,632 Mar 1, 2013 #9 KARIA said: Bishanga YNNAH Judgement Donn, watu8! Hivi babu yangu Asprin yupo na bibi yangu cacico au kweshney? na Madame B Yupo kweli? na wale kina nanihiii nao wapo wote? Click to expand... wote uliowaulizia wapo na wamejaa tele humu ndani...
KARIA said: Bishanga YNNAH Judgement Donn, watu8! Hivi babu yangu Asprin yupo na bibi yangu cacico au kweshney? na Madame B Yupo kweli? na wale kina nanihiii nao wapo wote? Click to expand... wote uliowaulizia wapo na wamejaa tele humu ndani...
Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Mar 1, 2013 #10 Karibu tena KARIA. I missed your presence Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Mar 1, 2013 #11 karibu tena
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Mar 1, 2013 #12 KARIA karibu sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016