Si umeshapeleka matatizo yako kwa "Lord in prayer," haitoshi?...nikamwambia tu take it to the Lord in prayer...
...Tafadhali, nisaidieni how to help him...
Wako wengine wako addicted na punye** nk
Hata kusali sana ni addiction! Kuna kitu ambacho uko addicted nacho ila wewe hujui! Once utakapoona kinazidi then you come to realize that you are addicted in that thing!
The guy have come to realize that and thats why he now confessed to you! Endele kumshauri na atafanikiwa kuach tu! Ombeni Mungu awatangulie.
Ukimuachia Mungu yatamshinda? Na ni wapi Mungu kasema "hamsaidii mtu kama hajajisaidia"?...............Mungu hamsidii mtu kama hajajisaidia. ... Muhimu kutafuta njia za kutatua tatizo sio kumuachia Mungu tu.
PRONDO inategemea will power lakini hapo ndo kwenye tatizo .....................kawaida ukishakuwa addicted ku control will power yako unakuwa huwezi by yourself.........unahitaji msaada wa kimawazo na kimsukumo.
kumwambia tu nenda kachome moto sijui katupe kila cha porno hujamsaidia kwa sababu will power yake haitamruhusu..............atavitupa leo, lakini kesho atanunua tena.
Hivi kwa nini mnamwita huyo jamaa P-RONDO wakati mimi nasoma jina lake kama R-RONDO?
PRONDO inategemea will power lakini hapo ndo kwenye tatizo .....................kawaida ukishakuwa addicted ku control will power yako unakuwa huwezi by yourself.........unahitaji msaada wa kimawazo na kimsukumo.
kumwambia tu nenda kachome moto sijui katupe kila cha porno hujamsaidia kwa sababu will power yake haitamruhusu..............atavitupa leo, lakini kesho atanunua tena.
hivi kwa nini mnamwita huyo jamaa p-rondo wakati mimi nasoma jina lake kama r-rondo?
Ha ha, wewe Bagheshi wewe una mambo~kwi kwi kwi!.
Ha ha, wewe Bagheshi wewe una mambo~kwi kwi kwi!.