nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
aisifuye mvua!
Cjui hata nianzie wapi,
Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,
Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.
Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.
eheheeeee!!!! jana niliwaeleza yangu umkanishangaa...haya sasa oneni huyu....13?????duh!! si bora mimi wanne tu. jamani niliwaambia iwapo Mungu angeufunua usiri wa mtu mchana wa jua uonekane na kila mtu jana msingine nipa nzito kiasi hicho. sasa huyu hata sio ndo mwisho sababu bado yupo kwa wazazi, endapo ataendelea kukaa miaka mingine 4 si idadi itakua infinite?Cjui hata nianzie wapi,
Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,
Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.
Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.
Hongera sana kwa kiwango chako hicho. Bt hivyo ni vyakunyonga sidhan km vya kuchinja utaviweza coz ndivyo vingi duniani. Shukuru mungu hao mabeki 3 wametoka iringa, huko wanawake hawatongozwi, unajivutia mwenyewe. Nadhan ukame unakujia si kitambo!Cjui hata nianzie wapi,Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.
Shosti, tafadhali sana acha kuniingilia kwenye inteno!aisifuye mvua!
Cjui hata nianzie wapi,
Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,
Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.
Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.
Kaka wajua watu mnajifanya hamna hatia kuhusiana na madada zetu wa ndani,wengi mnaopondea najua fika mtakua mtoswa na wadada hawa. Ndoa ngapi zimevunjwa kutokana na uzuri na utamu wa hawa watu?Hongera sana kwa kiwango chako hicho. Bt hivyo ni vyakunyonga sidhan km vya kuchinja utaviweza coz ndivyo vingi duniani. Shukuru mungu hao mabeki 3 wametoka iringa, huko wanawake hawatongozwi, unajivutia mwenyewe. Nadhan ukame unakujia si kitambo!
DA WAJUA HAWA WADADA WA {IN} NI WAZURI.INGAWA MI KUSEMA HUMU JAMVIN NADHARAULIKA,ILA UKWEL UTASIMAMA DAIMA. wangapi wamewalala na hawasemi? Wanakuja humu na kusema tunawaonea wadada hao? Special thenks kwa alichangia kwa shairi Kanigusa Kwa kweli. Penzi la wadada wa ndani ni penzi tu kama penzi jingine.mbna hata wanaosoma vyuo mnawamega na kuwaacha Au nao ni beki3?Mnavotunyanyasa sie watumishi wa Nyumbani acha tu sawa bwana
Tena faza hausi akinionja tu kwisha habari yake atamsahau maza hausi kabisaDA WAJUA HAWA WADADA WA {IN} NI WAZURI.INGAWA MI KUSEMA HUMU JAMVIN NADHARAULIKA,ILA UKWEL UTASIMAMA DAIMA. wangapi wamewalala na hawasemi? Wanakuja humu na kusema tunawaonea wadada hao? Special thenks kwa alichangia kwa shairi Kanigusa Kwa kweli. Penzi la wadada wa ndani ni penzi tu kama penzi jingine.mbna hata wanaosoma vyuo mnawamega na kuwaacha Au nao ni beki3?
Cjui hata nianzie wapi,
Tokea form1 nyumbani tumepokea wafanyakazi wa ndani tofautitofauti,
Mpaka sasa wanazidi kumi na tatu(13),na wote nimekua nikiwalala,tukiacha wengine wamajirani.
Na kila nikiwatongoza hua hawakatai.cjui hata nifanyaje mana hata familia yangu nahis imeshagundua tabia yangu.
a gentleman never tells.
una pepo la mabeki 3,likemeeAtakayekuja kuwa mkeo ana kazi kubwa kweli kweli,labda aweke houseboy!Kama umeshindwa kujicontrol sasa hata ukija oa utaendeleza uchafu wako.Kama ni kupitiwa labda ndio "unakua"....mpaka wanafika 13??????You are so weak to be called a MAN.
Inasikitisha sana.ni kama hawana mtetezi.but me nafikiri kuanzishwe kitengo cha kuhudumia hawa mahausigel na kisimamiwe na wizara ya watoto na kina mama.ofisi hizo ziwekwe kwenye kila ofisi ya wilaya ya ustawi wa jamii.na ikibidi wafanye usajili wa hawa watu kupitia serikali za mitaa.then kuwekwe matangazo maredion na kwenye tv kuwaelimisha mara wanapopata matatizo ya namna hii wakaripoti kwenye hizo ofisi.wengine wanafukuzwa wakiwa na mimba.wanaishia kwenda kulea peke yao huko vijijin.me inaniuma sana.coz nimeshashuhudia wasichana wengi wakinyanyaswa na hawana pa kwenda.so sad.ni wazo tu.siku za uson am planning to write a proposal na kusubmit somewhere.Nadhani inabidi wana harakati wawape elimu hawa madada si ya kudai maslahi yao tu, na jinsi ya kuishi na wanaume wasiojua kufunga zipu. They are innocent. Na wakisema washtaki kwa wamama wenye nyumba kuwa wametakwa na waume zao au watoto wao in most cases wana end up kufutwa kazi kabisa. Umasikini ni kitu kibaya sana. Yani wanageuzwa sex slaves na mikazi juu kulala saa sita usiku, kuamka saa kumi na moja asubuhi. Bado uhudumie wanaume wote ndani ya familia tena bila hata malipo bora wangekuwa sex workers tungesema ni biashara wanatembea nao hata ela ya kufuli hawawapi. Ndio maana nauliza hawa the so called viti maalumu wana fanya nini bungeni!!!! Kwa nini awasimamii vitu kama hivi jamani. Ingetungwa sheria mianamume ya namna hii isweke ndani kama wabakaji tu. Kwani in most cases these girls are under 18.
Acha zako wewe teh! Kula mwenyewe!Kaka wajua watu mnajifanya hamna hatia kuhusiana na madada zetu wa ndani,wengi mnaopondea najua fika mtakua mtoswa na wadada hawa. Ndoa ngapi zimevunjwa kutokana na uzuri na utamu wa hawa watu?