Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kaka mkubwa umeelewa?Pesa ya kuongeza mishahara hakuna ila pesa ya kununua ndege 2 trillions, kununua wanasiasa malaya haikosekani.
Kaka mkubwa umeelewa?
Hapana hivohivo tu.Nisaidie Mkuu labda nimetoka kapa.
Pesa ya kuongeza mishahara hakuna ila pesa ya kununua ndege 2 trillions.
Hiyo taarifa inaihusu na Tanzania? Maana huku mpango wetu ni kununua ndege tu
Hapana hivohivo tu.
Usije kuhamisha mashambulizi kwangu.
Ha ha ha haaaah kwahiyo nitoe hofu?Hahahahaha lol! Mie na wewe ni Waarabu wa Pemba Mkuu 😂😂😂😂
Ha ha ha haaaah kwahiyo nitoe hofu?
Poa poaUsiwe na hofu Mkuu.
Tz TumekamatikaPesa ya kuongeza mishahara hakuna ila pesa ya kununua ndege 2 trillions, kununua wanasiasa malaya haikosekani.
Kaa ukijua Kabula wa Kebbys anaandaliwa wizaraPesa ya kuongeza mishahara hakuna ila pesa ya kununua ndege 2 trillions, kununua wanasiasa malaya haikosekani.
Tz Tumekamatika
Sisi nindona kantrii remember? Hatushindwi kuongeza mishahara hata kama ni bajeti endelevuKuongeza mishahara ni kitu kizuri sana lakini mishahara haiwezi kuongezwa kisiasa sababu ongezeko la mshahara sio la mwezi mmoja, hiyo ni budget endelevu, ukimuongeza mtu umeongeza hakuna kurudi kupunguza
Na pia hii nyongeza ya mshahara kwa watumishi haiishii tuu kumgharimu mwajiriri mshahara na pensheni.
Hapa muajiri anatakiwa kulipia other salary costs ambazo hazimhusu mtumishi bali zinamhusu muajiri pekee
Kwa afya ya makampuni, sekta mbalimbali na waajiriwa ni muhimu kufanya maamuzi sahihi kwa hili maana ukikosea hapa unaweza ishia kupunguza kazi watumishi au kufukuza kazi watumishi au kufunga office kabisa
Unajua tunazinguana nchi imeshika uelekeo wa kwenda shimoni bado tunawaaminisha wananchi kuwa tutazama kidogo then tutaibuka kumbe hizo nguvu za kuibuka hatuna na kama tunazo kwa nini tusizuie kuzama humo shimoni.Huo ndiyo ukweli Mkuu.
"MITANO TENA" ataongeza Tu tumpe MITANO TENA.Shirika la Kimataifa la Wafanyakazi(ILO) limesema janga la #COVID19 limeawaathiri sana waajiriwa wenye mishahara midogo.
Kuepuka athari zaidi ILO imeshauri mishahara kurekebishwa mara kwa mara. Na vilevile kupandisha kima cha chini cha mshahara ili uendane na hali ya uchumi.
Wamesema kwa miaka kumi iliyopita ni 70% ya nchi ambazo takwimu zao wanazo ambao wamepandisha mishahara. Wamesema watu milioni 266 wanalipwa chini ya kiwango cha chini cha mshahara.
Hivyo wameshauri Kiwango cha chini cha mshahara kuwekewa sera itakuza uzalishaji.
Global Wage Report 2020-21: Wages and minimum wages in the time of COVID-19
This ILO flagship report examines the evolution of real wages around the world, giving a unique picture of wage trends globally and by region. The 2020-21 edition analyses the relationship of minimum wages and inequality, as well as the wage impacts of the COVID-19 crisis.www.ilo.org