Gova yao ime prohibit maize importation, iyo itakuwa ni serikali ya hustler, sio ya uhuru, si nasikia ana shehena CongoLast paragraph...
Itawauma but itabidi mzoee.Gova yao ime prohibit maize importation, iyo itakuwa ni serikali ya hustler, sio ya uhuru, si nasikia ana shehena Congo
Imuume nani, nyie mnaobanaga na kuachia mkitingishwa kidogo. Ingeuma kama ingalikuwa ni watu mpo consistent, ila u know yourselves, tukibana kitu yenyu moja tu, gova yenu itabadilisha maamuziItawauma but itabidi mzoee.
Mbona hatujawai lalamika? Nyinyi ndio munalalamika?Imuume nani, nyie mnaobanaga na kuachia mkitingishwa kidogo. Ingeuma kama ingalikuwa ni watu mpo consistent, ila u know yourselves, tukibana kitu yenyu moja tu, gova yenu itabadilisha maamuzi
Mbona mnalalamikaga sana nyieMbona hatujawai lalamika? Nyinyi ndio munalalamika?
Nionyeshe video ya Mkenya hata mmoja akilalamika. Mimi nitakupa ya Mtanzania.Mbona mnalalamikaga sana nyie
Heshimu wazito.Angekuwepo mzee wetu john pombe dah hii issue angeshaipatia dawa kitambo sana,hawa wajinga wa sasa hivi eti wanataka diplomasia..diplomasia gani unataka kufanya na wakenya ewe mama Samia!!???
Hahaha hebu msikilizeni huyu hater wa Kenya? Wivu itawamaliza MalazyAngekuwepo mzee wetu john pombe dah hii issue angeshaipatia dawa kitambo sana,hawa wajinga wa sasa hivi eti wanataka diplomasia..diplomasia gani unataka kufanya na wakenya ewe mama Samia!!???
Woi, video ya nn, nyinyi kuanzia TV zenu, Twitter, Kenya forums etc, kote huko nawaona mkilia bongo haijali covid, Tz wamezuia ndege zetu, tukaretaliate mlivyozuia our truck, Kenyans started crying like we started it, wacha kupretend bhana, nyinyi hamna kifua kwa bongo, you'll just bow downNionyeshe video ya Mkenya hata mmoja akilalamika. Mimi nitakupa ya Mtanzania.
Kuishi Tanzania ni raha sana,siwezi kuwa na wivu na nchi ya kijinga kama Kenya..tazama mlivyowasaidia watanzania kabla ya ban yenu ile ya mahindi mtanzania alikuwa akinunua unga kg 1 kwa tsh 1200,now baada ya ban tunanunua unga kg1 kwa tsh 800..kwa hali hiyo nawezaje kuwa na wivu na kenya,nchi yenye njaa karne hii,can you immagine 2021 watu zaidi ya 1.4 million wanakosa chakula!!???...what f**k..Hahaha hebu msikilizeni huyu hater wa Kenya? Wivu itawamaliza Malazy
[emoji23][emoji23][emoji23]wazungu fake wa kibera.Hasara kwa mkenya aliye ingiza mahindi, njaa kwa wazungu feki wa kibera
🤣 🤣 🤣Woi, video ya nn, nyinyi kuanzia TV zenu, Twitter, Kenya forums etc, kote huko nawaona mkilia bongo haijali covid, Tz wamezuia ndege zetu, tukaretaliate mlivyozuia our truck, Kenyans started crying like we started it, wacha kupretend bhana, nyinyi hamna kifua kwa bongo, you'll just bow down
Hivi wewe unafurahia bei ya unga kuporomoka kisa wakulima wamekosa soko la mahindi na wanatafuta tu pa kudispose bidhaa zisiharibike? Nyinyi wabongo munahitaji somo la economics kama jana. 🤣 🤣 🤣 🤣Kuishi Tanzania ni raha sana,siwezi kuwa na wivu na nchi ya kijinga kama Kenya..tazama mlivyowasaidia watanzania kabla ya ban yenu ile ya mahindi mtanzania alikuwa akinunua unga kg 1 kwa tsh 1200,now baada ya ban tunanunua unga kg1 kwa tsh 800..kwa hali hiyo nawezaje kuwa na wivu na kenya,nchi yenye njaa karne hii,can you immagine 2021 watu zaidi ya 1.4 million wanakosa chakula!!???...what f**k..
na cha kushangaza zaidi ban mmeondoa na mahindi yanaingia kama kawa,kukamata bidhaa inayoingia kinyume cha sheria ni sawa,hata sisi tulikamata vifaranga,tukavitia moto,juzi tu hapa tumekamata vingine navyo tumetia moto
We unafikiri soko lipo Kenya tu??..sisi wenyewe tunaweza kununua,matumizi ya mahindi hayajawahi kutosha..wacha kufikiri kwa kutumia matacooHivi wewe unafurahia bei ya unga kuporomoka kisa wakulima wamekosa soko la mahindi na wanatafuta tu pa kudispose bidhaa zisiharibike? Nyinyi wabongo munahitaji somo la economics kama jana. 🤣 🤣 🤣 🤣
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Shida yenu Watanzania munapenda hadithi za vijiweni zisizo na proof yoyote. Yaani mwanasiasa wa siisiiemu akijipiga tu kifua eti Kenya wanalia, baas, huo ndio wimbo kila Mtanzania atalia mtandaoni ila ukweli ukiwauliza hawawezi kutolea. Video ndio hii hapa wakulima n wafanya biashara wa Tanzania wakililia soko la Kenya. Nionyeshe video ya Wakenya wakililia soko au bidhaa za Tanzania. Nionyeshe Wakenya wakilia eti mmezuilia ndege zetu. Usimeze habari zisizo na chanzo ovyo ovyo bhana. Mnajifanya vigogo kumbe ukweli nyinyi ni lightweights hapa East Africa. Ndio maana kila mara MK254 anawaeleza muunde vyama vingine muache kutegemea tu CCM maanake munaiabudu hadi CCM wakimwambia Tanzania ndio the biggest economy in the world munakubali tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]